Friday, 7 February 2014

Mume wa mtu ni sumu….Binti afumaniwa na mume wa mtu na kupewa kichapo cha mbwa mwizi!



Mume wa mtu ni sumu….Binti afumaniwa na mume wa mtu na kupewa kichapo cha mbwa mwizi!








4


Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo
ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni
sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.



Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
  Fumanizi hilo lilizua kizaazaa baada ya vurugu kuanza na
lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu
Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.






Shuhudia  picha  hapo  chini


6 5 2 1



MOYO WA KALA JEREMIAH WATESWA NA MSANII WA BONGO MOVIE,,,, NI BAADA YA KUZIONA PICHA ZA NUSU UTUPU ZA MSANII HUYO!!!!



MOYO WA KALA JEREMIAH WATESWA NA MSANII WA BONGO MOVIE,,,, NI BAADA YA KUZIONA PICHA ZA NUSU UTUPU ZA MSANII HUYO!!!!





MSANII kutoka jiji la
Mwanza ambaye alipata umaarufu kupitia Shindano la BSS amevunja ukimya
na kusema mambo mengi juu ya Msanii wa Filamu ambaye wanatoka wote jiji
moja la Mwanza ambaye anajulikana kwa jina la Suzane Michael. Kala
alifunguka hayo na kusema kuwa "Nawashangaa
sana hawa madada zetu yani wao wanaona kujiachia ndiyo wataishi mjini,
huyu dada mimi namfanhamu na sikutegemea kama ataweza kupiga picha za
hivi na kuziweka mtandaoni yani kwa hiki kitendo ameuvuruga moyo wangu
na kuuchafua kabisaaaa"
alisema Kala 




Mwanadada Suzane Michael





Hata ivyo kala alizidi kuongeza "Unajua
kule kwetu Mwanza mtoto wa kike anajiheshimu sana na ndiyo maana
wanazidi kupendeza ila wakija Dar tu kila kitu kinakuwa nyuma mbele
mbele nyuma."
aliongezea, 








Suzane Michael





Mwandishi wetu aliamua
kuvunja ukimya na kuanza kumtafuta mrembo huyu (Suzane Michael) wa Bongo
movies ambaye picha zake za nusu utupu zimezagaa mtandaoni ili aweze
kufunguka juu ya suala hili lakini bahati haikuwa yetu kwani kila
tulipojaribu kumpigia simu yake haikuweza kupatikana na hata tulivyofika
nyumbani kwake maeneo ya Sinza tuliambiwa amesafili kaenda kwenye
shughuri za sanaa.






Suzane Michael na vazi la kutokea



 Mwandishi wetu hakukata
tamaa ndipo alipompata rafiki wa karibu wa msanii huyu ambaye hakutaka
jina lake litajwe na akaamua kufunguka na kusema "Hizo
picha ni chache sana tena sana na kama Kala kasema ni mbaya basi
kakosea kwani Suzane anapicha mbaya zaidi hata ya hizo hapo na kama
unataka nitakupa uzione yani hata sisi huwa tunamshangaa yani hata
mavazi yake ya mtaani hayana maadili kabisaa yani anaonekana kama yupo
uchi tu"
alisema rafiki huyo




mmMHHH.....



 Mwandishi wetu alipata
bahati ya kuziona hizo picha na kusema hazifai kabisa katika jamii ila
akatoa ahadi ataziachia ili kuonyesha madudu yanayofanywa na wasanii
wetu wa Bongo Movies.


source:SWAHILI

MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA AKICHEZEWA NYETI ZAKE MCHANA KWEUPE NA WASANII WENZAKE WACHANGA(18+)



MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA AKICHEZEWA NYETI ZAKE MCHANA KWEUPE NA WASANII WENZAKE WACHANGA(18+)






Mmh
wimbi la mastaa wetu kuendelea kujishushi hadhi linaendelea kushika
kasi kila kukicha huku hakuna sheria zozote zinazochukuliwa dhidi yao.


Msanii
nyota toka kiwanda cha bongo movie Edward Tem "Nick" picha zake za
utupu zaidi 200 zimenaswa  zikimuonesha akiwa na
wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake.



  wiki
kdhaa za nyuma iliwahi kushushiwa picha za fumanizi la msanii huyo
dhidi ya msanii wake wa kike ambae alifumaniwa nae maeneo ya Kawe Jijini
Dar ambapo sakata hili liliishia kituo cha Polisi Hananasifu baada ya
msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.


Chanzo
chetu kiliendelea kusema kuwa picha hizi za utupu zilipigwa siku nyingi
kabla ya hilo fumanizi na zimevuja kutoka kwenye kamera yake mara baada
ya kupotea ambapo blog hii ilifanya jitahada za kumtafuta msanii huyo
kupitia simu yake ya kiganjani lakini kwa bahati mbaya hakuweza
kupatikana.


Msanii
huyo ambae sasa hivi ameachia filamu zake kama Bad Father,The,re ma
sons, House Girl na Boss ambapo kati ya filamu hizo moja tu ndiyo
iliyopelekwa kampuni ya Pilipili Entertainment ya Bad Father 


tazama
picha hizo chafu hapa, zimefichwa kwa sababu ya ishu ya maadili so kama
wataka kuziona utakua unazifungua kwa hiari yako... bofya link hizo
hapa chini



 


<PICHA YA KWANZA HII HAPA>>  



 


<PICHA YA PILI HII HAPA>>



 


<PICHA YA 3 HII HAPA>>



 


<PICHA YA 4 HII HAPA>> 



 


<PICHA YA 5 HII HAPA>> 



 


<PICHA YA 6 HII HAPA>> 



 


<PICHA YA 7 HII HAPA>> 



 


<PICHA YA 8 HII HAPA>> 



 


<PICHA YA 9 HII HAPA>> 



 


<PICHA YA 10 HII HAPA>> 



 


<<PICHA YA 11 HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 12 HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 13 HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 14 HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 15 HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 16 HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 17HII HAPA>>



 


<<PICHA YA 18 HII HAPA>>

HUDDAH MONROE SASA AFANYA KUFURU.... ATUPIA VIDEOZ AKICHEZA MUZIKI NUSU UCHI KWA STYLE KAMA ANAIGIZA MUVI YA NGONO..... TAZAMA VIDEO HIZO HAPA



HUDDAH
MONROE SASA AFANYA KUFURU.... ATUPIA VIDEOZ AKICHEZA MUZIKI NUSU UCHI
KWA STYLE KAMA ANAIGIZA MUVI YA NGONO..... TAZAMA VIDEO HIZO HAPA



Mwanadada kutoka kenya  maarufu kwa kupost picha za uchi mtandaoni
ambaye pia amejizolea umaarufu kwa kuwa katika mahusiano na msanii
maarufu nchini kenya anayefahamika kwa jina la Prezzo siku ya leo
ameachia kituko kingine kwa kupost videoz akicheza muziki  katika style
za kama za wacheza movies za ngono...tazama video hizo mbili hapa
moja akiwa amevaa kanua kama chup! au nguo flan za ndani....




                          BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIZO 



PICHA CHAFU ZA BIDADA WA WAKUSOMA ZIMEVUJA,,,,, NI SUGAR-DADDY WAKE NDIO ALIYEMCHEZEA MCHEZO HUU MBAYA!!!!



PICHA CHAFU ZA BIDADA WA WAKUSOMA ZIMEVUJA,,,,, NI SUGAR-DADDY WAKE NDIO ALIYEMCHEZEA MCHEZO HUU MBAYA!!!!

Jina kapuni, ni mwanafunzi wa shule ya sekondari, ST....  , nchini South Africa.

Mwaka
jana akiwa anarudi shule pamoja na marafiki zake wawili, likasimama
Gari aina ya Range Rover,Akashuka Mzee-Kijana akawasalimia,akawaomba
rafiki zake huyu mrembo aongee nae pembeni...... STORI YOTE IPO HAPO CHINI:




HEBU JIONEE MWENYEWE PICHA HIZI JAMANI,,,,, AIBU SANA.



































PICHA CHAFU ZA BIDADA WA WAKUSOMA ZIMEVUJA,,,,, NI SUGAR-DADDY WAKE NDIO ALIYEMCHEZEA MCHEZO HUU MBAYA!!!!



PICHA CHAFU ZA BIDADA WA WAKUSOMA ZIMEVUJA,,,,, NI SUGAR-DADDY WAKE NDIO ALIYEMCHEZEA MCHEZO HUU MBAYA!!!!

Jina kapuni, ni mwanafunzi wa shule ya sekondari, ST....  , nchini South Africa.

Mwaka jana akiwa anarudi shule pamoja na
marafiki zake wawili, likasimama Gari aina ya Range Rover,Akashuka
Mzee-Kijana akawasalimia,akawaomba rafiki zake huyu mrembo aongee nae
pembeni.




Baada ya kupewa Maneno Matamu na kuhaidiwa kiwango kikubwa cha Pesa,akamkubalia.

Wakakutana Kesho,wakafanya yao.Wakaanzisha Uhusiano wa Kimapenzi ambao ulidumu kwa zaidi ya Miezi 9.



Wiki iliyopita, tulifanikiwa kuzipata
hizi picha baada ya kuanza kuvuja kwa kasi kwenye Internet,inasemekana
huyu binti kwa Tamaa zake alipata mwanaume mwingine,Mtoto wa Wizara
Nyeti kule South Africa,kwa kuwa ana pesa zaidi ya Mzee-Kijana,akaamua
aachane na Mzee-Kijana,kisha aanze kudu na Mtoto wa Waziri.




Kitendo kile kikamkasirisha yule Mzee-Kijana,akaamua kuzisambaza hizi picha za huyu bidada akiwa na Nia ya kulipiza kisasi.



Majamboz inawashauri Wanafunzi wote hasa wa sekondari na Chuo,please acheni Tamaa.

Ipo siku kitu kama hiki kinaweza kikakutokea ukakosa pa kuficha uso wako ndani ya jamii.
















                         <<BOFYA HAPA KWA MAPICHAZ ZAIDI>>



Monday, 3 February 2014

V_SKILLS AFRICAN BOY: JIDE AOMBA TALAKA,,,, GARDNER APATA MSHITUKO NA KU...



WEMA: NIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA

Wema Isaac Sepetu.

Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema za
Kibongo alifunguka hayo wikiendi iliyopita wakati akiwa safarini
kuelekea jijini Arusha ambapo msanii anayemilikiwa na kampuni ya Wema ya
Endless Fame Production aliyetajwa kwa jina moja la Mirrow alikwenda
kuangusha shoo pande hizo.



Wema aliyasema hayo alipokuwa akichangia mada ya utabiri wa mtoto wa
aliyekuwa mtabiri bingwa, marehemu Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan
Hussein aliyetabiri kwamba wasanii wengi wenye majina makubwa watakufa
mwaka 2014.



Mwanadada huyo alisema mastaa wengi wameaga dunia na kuagwa kwenye
Viwanja vya Leaders, Kinondoni lakini yeye itakuwa Uwanja wa Taifa.



Alitolea mifano ya waliokuwa mastaa kama Steven Kanumba, Albert
Mangweha ‘Ngwea’, Julius Nyaisangah ‘Anko J’ na wengine kuwa waliagwa
Leaders lakini kwa namna ambavyo jina lake ni kubwa ndani na nje ya
Bongo viwanja hivyo havitatosha.



“Mimi
nakwambia kabisa, pale Leaders hapatatosha. Kama nikifa leo au kesho,
niagwe Uwanja wa Taifa ili kila mtu apate nafasi. Naamini watu watakuwa
wengi sana so Leaders hapatatosha,” alisema staa huyo mkubwa anayeminya
kilamalavidavi na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.



Ijumaa Wikienda lilipododosa kwa marafiki zake wa karibu lilitonywa
kwamba tayari jambo hilo alishawaeleza na kwamba aliomba iwe hivyo.



Mbali na wasanii, Maalim Hassan alitabiri pia kuwa mwaka huu kuna
mwanasiasa mkubwa atakufa na utakuwa msiba wa kitaifa, vifo vya
wanahabari na malumbano makubwa juu ya serikali tatu.



Wiki iliyopita ilijaa simanzi baada ya kufariki dunia kwa watu
maarufu kama mchekeshaji wa Futuhi ya Star TV, Omary Majuto ‘Mzee Dude’,
mpiga ngoma wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Soud Mohamed
‘MCD’, mwigizaji wa Bongo Movies, Victor Peter na mtangazaji wa East
Africa Radio, Kenneth Kidago Lyanga.

JIDE AOMBA TALAKA,,,, GARDNER APATA MSHITUKO NA KUELEZAKISA CHOTE ,,,, SOMA HAPAAAA



JIDE AOMBA TALAKA,,,, GARDNER APATA MSHITUKO NA KUELEZAKISA CHOTE ,,,, SOMA HAPAAAA












UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri
Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva,
Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa
kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa
Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote.



Jide akiwa na jumewe Gardner.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, Jide au Lady Jaydee
alifikia uamuzi huo baada ya Gardner kupata kazi ya kutangazia redio
moja nchini Kenya.



HABARI KAMILI
Mnyetishaji wa kisanga hiki,
aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa mara baada ya mume huyo kupata mchongo
mzima alirudi nyumbani akiwa na furaha na kumwambia mkewe kuhusu bahati
hiyo.
“Baada ya Gardner kupata mchongo wote wa kazi alikwenda mbio nyumbani kwake Kimara (Dar) ili akamwambie mkewe.



“Pia katika safari ya kwenda Kenya kupiga mzigo ilikuwa aende na
mkewe huyo kwa sababu lilikuwa suala la kuhamisha makazi yao Tanzania,”
kilisema chanzo hicho.



 
Jide na Gardner siku ya ndoa yao.

JIDE AHAMAKI
Chanzo kikatoboa kwamba Gardner alipofika nyumbani kwake na kumweleza mkewe, alikumbana na kitu ambacho hakukitarajia.



“Komando (Jide) alihamaki na kumjia juu akisema yeye hawezi kuondoka
Tanzania kwenda kuishi Kenya, kama Gardner analiona jambo hilo ni heri
kwake, amuandikie talaka yake na kuachana ili kila mmoja achukue hamsini
zake,” chanzo kilizidi kuporomosha maneno.



KWA NINI JIDE HAKUPENDA?
Habari zilizidi
kuanikwa kwamba Jide au Binti Machozi alifikia uamuzi huo baada ya
kugundua kuwa kitendo cha kwenda kuishi Kenya kitaua bendi yake ya
Machozi na sehemu ya biashara ya Nyumbani Lounge iliyopo Ada-Estate,
Kinondoni, Dar.



MBAYA ZAIDI
Taarifa zikazidi kumiminika kwamba,
mbali na Jide au Anakonda kuhofia biashara zake kufa, lakini pia
hakupenda Gardner aondoke hata peke yake kwa sababu yeye ndiye meneja wa
miradi hiyo miwili.



“Mimi nilipopata habari hizo nilikutana na Jide nikamuuliza,
akanijibu ameamua iwe hivyo tu, kikubwa mumewe (Gardner) aamue moja kati
ya hayo mawili kwani yeye ana haki akiwa kama mkewe wa ndoa,” kilisema
chanzo kikimkariri Jide.



GARDNER AISHIWA NGUVU
Kufuatia majibu ya mkewe,
taarifa zinasema mtangazaji huyo ambaye alishawahi kupiga mzigo kwenye
kituo cha Radio Clouds FM cha jijini Dar alijikuta akiishiwa nguvu na
kuachana na dili hilo mara moja.



“Gardner alisalimu amri kwa mkewe, akaamua kuachana na dili la kwenda
kutangaza Kenya. Lakini alifikiri sana akasema ni kweli kuhamia Kenya
kungeua miradi yao ya Tanzania maana ingekosa msimamizi wa kuaminika,”
chanzo kiliweka wazi.



KAMA ANGEKWENDA KENYA
Siri hiyo iliyovujia
mikononi mwa Ijumaa Wikienda haikuishia hapo, ilizidi kuanikwa kwamba
kama Kapteini angekwenda Kenya na kuanza kazi, ilikuwa alipwe mshahara
wa shilingi za Kenya laki 3 kwa mwezi (kama milioni 6 za Tanzania).

NAFASI YAKE BADO IPO

Mpashaji wetu alisema kwamba nafasi ya Gardner kwenye kituo hicho cha
redio ambacho hakikutajwa, bado ipo lakini tamko la Jide nalo li hai,
kwa vile hakubatilisha, endapo mumewe atataka kwenda hata kesho
(Jumanne) aandike talaka.



WIKIENDA NA GARDNER
Baada ya kunyetishiwa
taarifa nzima, juzi gazeti hili lilimsaka Gardner. Kwa njia ya simu
lilimkosa, likamfuata Nyumbani Lounge. Lilipomkuta lilimsimulia kisanga
chote cha ndoa yake kutikiswa na kitendo cha yeye kupata kazi Kenya
ambapo alijibu hivi:



“Ndoa ni nzuri, ni kweli ilikuwa niende Kenya, nilipata kazi kule
lakini kama familia ilikuwa lazima tukae na kupanga, mwenzangu
hakuafiki.”
Wikienda: “Ni kweli shemeji ameomba uchague mawili, umwandikike talaka au uende Kenya?”

Gardner: “Ndiyo maana nimesema ndoa nzuri, lazima makubaliano yawepo,
mke anaweza kuonesha msimamo wake na mume kama utakaa chini na
kuufikiria ukapata jibu unakubaliana na mke wako wala hakuna ubaya.”



Wikienda: “Kule mshahara wako ungekuwa shilingi ngapi?”
Gardner: “Hiyo sasa ni siri ya makubaliano.”
Wikienda: “Kwa nini usiamue kwenda tu?”
Gardner: “Nimekwambia ndoa nzuri.”



JIDE BIZE
Juhudi za kumpata Jide ziligonga
mwamba baada ya muda wote kuwa bize na shoo ya kukata na shoka aliyokuwa
akiifanya siku hiyo kwenye ukumbi huo akikimbiza na nyimbo zake kali za
zamani na hizi mbili zilizogeuka nyimbo za taifa, Joto Hasira na
Yahaya.



RAFIKI WA GADNER AMCHAMBUA JIDE
Rafiki wa karibu
na Gardner (jina tunalo) ambaye alisikia mahojiano ya mtangazaji huyo
na Ijumaa Wikienda, alisubiri jamaa aondoke ambapo alianza kumchambua
Jide.
“Nataka kuwaambia kitu, Jide ni mwanamke jasiri sana. Ana
msimamo na anaposhikilia msimamo wake hatengui hasa kama atabaini kuwa
yupo sahihi.



“Ni kweli jamaa (Gardner) alipata kazi Kenya tena mshahara mzuri tu,
lakini mama (Jide) akaweka ngumu hakuna kwenda,” alisema rafiki huyo.




AIBU,,,, MSANII WA BONGO MOVIE ATUPIA PICHA MTANDAONI AKILIWA "DENDA" NA LUTENI KARAMA,,, ONA MAJANGA HAYO HAPA!



AIBU,,,, MSANII WA BONGO MOVIE ATUPIA PICHA MTANDAONI AKILIWA "DENDA" NA LUTENI KARAMA,,, ONA MAJANGA HAYO HAPA!










Msanii wa maigizo na
mwanamziki Bela Fasta aliyekuwa anaunda kundi la muziki wa Bongo fleva
la Scopion girls lilokuwa na  memba watatu ambao ni Jack wa Chuz, Jini
Kabula na Bela Fasta hivi majuzi kati aliamua kuachia picha mtandaoni
akiwa analiwa DENDA na msanii aliyekuwa kundi la wanaume family Luten
Karama ambaye inadaiwa wapo kwenye mapenzi mazito kupitiliza.








Bela aliamua kufanya hivyo ili kuiambia jamii kuwa sasa yeye ni mpenzi wa mtu na hiki ndicho anachofaidi katika mapenzi yake.












Tazama picha hizo hapa chini








 

MASTAA WA BONGO MOVIE WANAVYO VAA MMMHHHHH,,,, AU NDIYO FASHION,,, HEBU WAONE



MASTAA WA BONGO MOVIE WANAVYO VAA MMMHHHHH,,,, AU NDIYO FASHION,,, HEBU WAONE



Da hapo kajala Umezidisha sasa Uo umini Noma, kwa pembeni vile kama una mpasuo da Fashion sijui!!

Hapo sasa Hii ni juzi tu hapo A town raia walivyofaidi, Wema akia na Jokate, umeona lakini??


Hapa kwa lulu nadhani unaona me sina usemi, sasa tirika mdau unaonaje Fashion hiyo ya sikuhiz

SHILOLE NI BALAA...AKIRI LIVE REDIONI KUWA ANAYACHUNA MABUZI KAMA KAWA



SHILOLE NI BALAA...AKIRI LIVE REDIONI KUWA ANAYACHUNA MABUZI KAMA KAWA





MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya na Filamu Bongo, Zuwena Mohamed
‘Shilole’,jana alianika wazi tabia yake ya uchunaji mabuzi alipokuwa
kwenye moja ya mahojiano na watangazaji wa Kipindi cha Leo tena cha
Clouds FM, baada ya kuulizwa swali liloendana na jina la kibao chake
kipya ambacho jana ndiyo ilikuwa siku rasmi akikiachia hewna kupitia
stesheni za radio hiyo,baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa
jina la NACHUNA BUZI...




 

Mmoja ya watangazaji wa kipindi hicho alimuuliza ni
kitugani kilichompelekea hadi kutunga wimbo wa namna hiyo na kuupa jina
hilo,Shilole katika majibu yake alisema kuwa ameamua kukipa jina hilo
kufuatia historia mbalimbali za maisha yake,hususani wimbo wake uliopita
ambao aliupa jina la Nakomaa na jiji la Dar,sasa kudhihirisha kauli
hiyo ameamua kuchuna mabuzi ili aweze kupata mkwanja wakutosha
kulihimili jiji la Dar es Salaam na Igunga abaki kwenda kusalimia ndugu
na jamaa tu.Baada ya maneno hayo Shilole pia aliandika ujumbe huu kwenye
ukurasa wake wa Instagram:- 


shilolekiunoASANTENI MASHABIKI WANGU WOTE KWA KUIPOKEA VEMA NYIMBO YANGU MPYA#CHUNABUZI# MUNGU AWABARIK# AMEEN

LICHA YA MANENO MACHAFU, STARLISHA "CHAGGA BARBIE" ARUDISHA MAJESHI KWA PREZZO...CHEKI KAULI YAKE HAPA



LICHA YA MANENO MACHAFU, STARLISHA "CHAGGA BARBIE" ARUDISHA MAJESHI KWA PREZZO...CHEKI KAULI YAKE HAPA














Pamoja na matusi yote ambayo
alishambuliwa na kudhalilishwa Msanii Prezzo na mpenzi wake Starlisha Tillya
al-maarufu CHAGGA BARBIE  still ule msemo wa wagombanao ndio wapatanao
ulishika nafasi yake baada ya mwanadada wa Kitanzania

ambaye anaishi Marekani
ameshindwa kumsahau mfalme mswati Prezzo nakuamua kupost picha ambayo aliandika
na maneno kadhaa ambayo yalidhihilisha kuwa wamerudiana kama
inavyoonekana hapo chini katika picha; 


AIBU: YULE DADA ALIYEMPORA WEMA SEPETU BWANA , APIGA PICHA ZA UTUPU,,, ZIMEZAGAA MITANDAONI


AIBU: YULE DADA ALIYEMPORA WEMA SEPETU BWANA , APIGA PICHA ZA UTUPU,,, ZIMEZAGAA MITANDAONI

 Rafiki kipenzi wa Wema Sepetu mwanadada Naima ambaye ndiyo anamiliki mpenzi wa zamani wa shosti yake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye ni kigogo na pedeshee wa mjin hapa, hivi karibuni aliachia picha mtandaoni akiwa mtupu na kufanya watu washikwe na mshangao na kumshangaa dada huyu.

Sunday, 2 February 2014

Download Bou Nako ft J Deal - Nimejifunza
















Download Bou Nako ft J Deal - Nimejifunzahttp://www.hulkshare.com/hassbaby/bou-nako-ft-j-deal-nimejifunza

BouNako katika kujiandaa kudrop Album yake hivi karibuni anakupa single
"Nimejifunza", amemshirikisha J Deal katika chorus,
kuDownload/Kuisikiliza Bofya DOWNLOAD

DOWNLOAD CHINDO (UMBWA) & MOPLUS FT. STEREO - TINDIKALI
















DOWNLOAD CHINDO (UMBWA) & MOPLUS FT. STEREO - TINDIKALIhttp://www.hulkshare.com/hassbaby/chindo-moplus-ft-stereo-tindikali

Ngoma inaitwa "Tindikali" Ikiwa ni kazi ya Umbwa aka Chindo na MoPlus
aka Baba Wa Ukoo wakimshirikisha "Stereo" toka Lunduno Dsm,
Kuisikiliza/Download Bofya HAPA 

DOWNLOAD WEUSI - GERE


















DOWNLOAD WEUSI - GEREhttp://www.hulkshare.com/hassbaby/weusi-gere