Mume wa mtu ni sumu….Binti afumaniwa na mume wa mtu na kupewa kichapo cha mbwa mwizi!
Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo
ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni
sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
Fumanizi hilo lilizua kizaazaa baada ya vurugu kuanza na
lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu
Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.
Shuhudia picha hapo chini
No comments:
Post a Comment