Wednesday, 29 October 2014

SHUHUDIA LAMSHIRIKI WA BIG BROTHER TOKA TANZANIA AFANYA UCHAFU HADHARANI




Mshiriki  wa  kike  wa  Tanzania, Laveda, jana  alitolewa  rasmi  katika  jumba  la  big  Brother  Africa  na  kuifanya  Tanzania  kubaki  na  mshiriki  mmoja  tu  ambaye  ni  Idris.
Pamoja na kutoka akiwa na skendo ya kupiga  punyeto mbele ya wenzake, Laveda amesema hakuna anachojutia kwa muda wote aliokaa katika  jumba  hilo .
  
“Oh trust me when I say this, I would not change anything! I leaved, I breathed, I showcased who I really am and I cannot change that. I was being me 100% so if I did anything to offend Africa I apologise for that, but that is just purely who I am and it gets very tricky when that is captured on camera 24/7,” alijibu Laveda alipoulizwa  na  Mtandao wa Channel24 wa Afrika Kusini  kama kuna kitu ambacho anatamani angekibadilisha.

Kutokana  na  maoni  mbalimbali  ya  wasomaji  wetu  wanaolifutilia  shindano  hili  toka  nchi  mbali mbali  za  Africa  kupitia www.bigbrotherafricans.com, upo  ushahidi  kwamba  kitendo  cha  Laveda  kupiga  punyeto  mbele  ya  wenzake  kiliwachukiza  wengi  na  hivyo  kutaka  aondolewe.

Tangu  kufanyika  kwa  tukio  hilo  usiku  wa  Ijumaa, waafrika  wengi   hasa  wanawake walionesha  kukerwa  na  kitendo  hicho  wakisema  ni  cha  kudhalilisha, hivyo  ni  bora  Laveda  atolewe  ili  akaendelee  kupiga  punyeto  akiwa  chumbani  kuliko  vile  anavyopiga  punyeto  mbele  ya  wazazi  wake  na  wadogo  zake.

Yafuatayo  ni  baadhi  ya  maoni  ya  wasomaji  wetu  waliyoyatoa  muda  mfupi  baada  ya  taarifa  za  Laveda  kuwekwa  hadharani.

 

Baada  ya  kugundua  kuwa  Africa  nzima  imemchukia  Laveda, Tuliamua  kuandika  habari  ya  kumtetea  kwa  kile  alichokifanya.   
  
Habari  hiyo  iliwekwa  katika  mtando  huu  wa  MPEKUZI. Hata  hivyo, ni  habari  ambayo  haikuonyesha  kuzaa  matunda  kama  ilivyokusudiwa  kutokana  na  ukweli  kwamba  Mpekuzi  inawasomaji  wengi  sana  wa  Tanzania  tofauti  na  ilivyo  www. bigbrotherafricans.com  ambayo  inasomwa  Africa  nzima.

Tunakutakia  Maisha  mema  Laveda, kukosea  ni  kujifunza.Hakuna  aliye  mnyoofu  na  ndo  maana  penseli  ikawekewa  Kifutio.

 

SHUHUDIA LAANA HII: MWANAMKE ATUMBUKIA CHOONI AKIFANYA MAPENZI NA MCHEPUKO WAKATI MUMEWE YU MAHUTUTI KITANDANI


Picha hii haiendani na picha tukio lakini picha hii pia wananchi walikuwa wakifanya uokoaji baada ya kijana mmoja kudumbikia chooni na kufa papo hapo. 
Na.Gabriel Mbwille, Mbozi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la TIENA MWAZEMBE mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa kijiji Hangomba kata ya Bara wilayani Mbozi mkoani Mbeya amenusurika kufa baada ya kutumbukia chooni wakati akifanya mapenzi huku mumewe akiwa maututi chumbani.
Habari za uhakika kutoka kijiji hapo zinadai kuwa mwanamke huyo licha ya kuwa mke wa mtu alikuwa anafanya ngono chooni na WASI MGALA wakati mumewe akiwa ndani anaumwa na kwamba alidumbukia choo baada ya banzi alilokuwa amekanyaga kukatika wakati wanafanya tendo hilo.
Mwanamke huyo alidumbikia kwenye choo chenye urefu wa futi 17 na kwamba baada ya kudumbukia, mwanaume aliyekuwa naye chooni wakifanya ngono alikimbia na kumwancha mwanamke huyo akipiga kelele za kuomba msaada ndipo wananchi walifika na kufanikiwa kumtoa ndani ya shimo na kukimbiza kwenye dula la madwa linalomilikiwa na muuguzi LEONARD NZOWA ambaye alitoa huduma ya kwanza kabla ya kumfika katika hospitali ya Mbozi Mission.


Hata hivyo mume wa mwanamke huyo SAIKI GODFREY KAROTI amesema kitendo kilichofanywa na mkewe ni cha uzalilishaji na si cha uungwana

CHANZO GPL

SHUHUDIA LAANA HII: MWANAMKE ATUMBUKIA CHOONI AKIFANYA MAPENZI NA MCHEPUKO WAKATI MUMEWE YU MAHUTUTI KITANDANI


Picha hii haiendani na picha tukio lakini picha hii pia wananchi walikuwa wakifanya uokoaji baada ya kijana mmoja kudumbikia chooni na kufa papo hapo. 
Na.Gabriel Mbwille, Mbozi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la TIENA MWAZEMBE mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa kijiji Hangomba kata ya Bara wilayani Mbozi mkoani Mbeya amenusurika kufa baada ya kutumbukia chooni wakati akifanya mapenzi huku mumewe akiwa maututi chumbani.
Habari za uhakika kutoka kijiji hapo zinadai kuwa mwanamke huyo licha ya kuwa mke wa mtu alikuwa anafanya ngono chooni na WASI MGALA wakati mumewe akiwa ndani anaumwa na kwamba alidumbukia choo baada ya banzi alilokuwa amekanyaga kukatika wakati wanafanya tendo hilo.
Mwanamke huyo alidumbikia kwenye choo chenye urefu wa futi 17 na kwamba baada ya kudumbukia, mwanaume aliyekuwa naye chooni wakifanya ngono alikimbia na kumwancha mwanamke huyo akipiga kelele za kuomba msaada ndipo wananchi walifika na kufanikiwa kumtoa ndani ya shimo na kukimbiza kwenye dula la madwa linalomilikiwa na muuguzi LEONARD NZOWA ambaye alitoa huduma ya kwanza kabla ya kumfika katika hospitali ya Mbozi Mission.


Hata hivyo mume wa mwanamke huyo SAIKI GODFREY KAROTI amesema kitendo kilichofanywa na mkewe ni cha uzalilishaji na si cha uungwana

CHANZO GPL

JIBU LA HASHIMU LUNDENGA KWA ATAKAYERITHI TAJI LA MISS TZ



Inawezekana wewe ukawa miongoni mwa wengi wanaofuatilia skendo ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu na inawezekana pia umeshajiuliza nini kitatokea uchunguzi wa BASATA utakapokamilika na ikibainika kuwa alidanganya umri wake. Baada ya mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania bwana Hashim Lundenga kuulizwa na 255 ya XXL ya Clouds Fm, kama ‘ikitokea’ Sitti akijivua taji/akithibitika alidanya umri, taji hilo atapewa nani au shindano litarudiwa? hiki ndicho alichojibu:

“Sitaki kuzungumza hiyo sitaki kuzungumza mpaka ikitokea tutajua nini la kufanya lakini haijatokea kwamba taarifa hizi ziko sahihi”.

RAPPER NAY WA MITEGO NA MPENZI WAKE SIWEMA WAPATA MTOTO WA KIUME

Rapper Nay wa Mitego na mpenzi wake wa siku nyingi,Siwema Siku ya leo wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume ikiwa ni siku moja aliyozaliwa mama mzazi wa Nay wa mitego,Hongera Nay&Siwema
Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Suwema10748202_881663258521951_1323233080_n

MSANII JOKATE AMFAGILIA DIAMOND PLATNUMZ LIVE BILA CHENGAA, SOMA HAPAA


jokate kidoti
Jumamosi iliyopita, Oktoba 25, 2014 ilikuwa ni Siku ya Msanii Duniani ambayo kwa mara ya kwanza, Tanzania iliiadhimisha siku hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal.
Dr Chris Mauki na Jokate Mwegelo walikuwa washehereshaji wa tamasha hilo kwenye Ukumbi wa Mlimani City uliopo Dar es Salaam.
Siku hiyo ilipambwa na matukio kibao nyuma na mbele ya pazia, ambapo kubwa lilikuwa ni la Jokate Mwegelo ambaye alikuwa miongoni mwa ma-mc wa shughuli hiyo ya kitaifa, kumfagilia waziwazi msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwamba hakuna kama yeye, Ijumaa Wikienda lilikuwa ndani ya nyumba na kunasa matukio lukuki yaliyojiri.
SHUGHULI YAANZA
Kwa kuzingatia itifaki, ukiacha waalikwa wengine, kiongozi aliyeanza kutimba alikuwa ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia na baadaye alifuatiwa na Dk. Bilal ambapo shughuli hiyo ilifunguliwa rasmi.
MA-MC
Washereheshaji wa shughuli hiyo walikuwa ni Chriss Mauki na Jokate Mwegelo ambao walifanya vizuri lakini mwanzoni kidizaini f’lani Jokate alionekana kuwa na kigugumizi na baadaye akatengeneza vichwa vya habari kufuatia kitendo chake cha kumsifia Diamond.
BURUDANI ZA AWALI
Katika burudani za mwanzo, kulikuwa na vikundi vya kudansi kisha ngoma ya asili kutoka Ukerewe ikafuatia, baadaye ikaja Bendi ya Mashauzi Classic chini ya Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ ambayo haikuamsha kama ilivyozoeleka.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake.
TUZO ZAANZA KUTOLEWA
Tuzo ya kwanza kutolewa ilikuwa ni ya Msanii Aliyejitolea Maisha yake Yote Katika Sanaa ambayo ilikwenda kwa mchora katuni mahiri aliyechora michoro ya Tingatinga.
Tuzo ya pili ilikwenda kwa Msanii Aliyetoa Mchango Mkubwa kwa Jamii ambapo aliyeibuka kidedea ni Joseph Kanuti.
BURUDANI TENA
Baada ya tuzo hizo mbili, burudani iliendelea tena ambapo Ako Mpiluka Band walionesha mbwembwe za kucheza na moto na kuwakosha mashabiki waliohudhuria.
Diamond Akicheza na wanenguaji wake.
DIAMOND STEJINI
Baada ya Mpiluka Band, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz alitimba stejini ambapo aliangusha bonge la shoo mbele ya makamu wa rais na kushangiliwa.
Wakiendelea kucheza wimbo wa ‘Mdogomdogo’.
Huku Diamond akiimba nyimbo zake nyingi za zamani, zile zomeazomea kama zilizotokea Fiesta zilizodaiwa kuwa ni kutoka kwa ‘Team Ali Kiba’, zilizimwa na uwepo wa makamu wa rais aliyeonekana kumkubali msanii huyo kwa kutingisha kichwa wakati anafanya shoo na sapoti kubwa aliyoipata kutoka kwa Jokate aliyeimba naye Wimbo wa Nimpende Nani.
Unaweza Soma :
JOKATE: HAKUNA KAMA DIAMOND
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Jokate alimfagilia waziwazi Diamond na kusema hakuna msanii anayeweza kumiliki jukwaa kama yeye.Sifa hizo alizozitoa Jokate kwa Diamond, zilisababisha ukumbi mzima ulipuke kwa kelele hasa ukizingatia kuwa wawili hao walishawahi kuwa wapenzi ila wakatengana na kile kinachodaiwa kuwa ni maneno ya watu.
Ukichanganya na kilichotokea kwenye Serengeti Fiesta 2014 ambapo Diamond ‘alikula za uso’ ukilinganisha na mpinzani wake, Ali Kiba ambaye alishangiliwa kwa nguvu, kitendo cha Jokate kumnadi Diamond jukwaani kilizidi kutengeneza vichwa vya habari.
Unaweza Soma :
DIAMOND ASAFISHA NYOTA
Baadaye Diamond aliangusha Number One na Mdogomdogo ambazo ziliwafanya watu wachizike hivyo kudaiwa kusafisha nyota yake iliyochafuka hivi karibuni kwenye Tamasha la Fiesta katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar alipozomewa.
DK BILAL AONDOKA
Baada ya neno kutoka kwa waandaaji, Waziri Nkamia alimuaga Dk. Bilal ambaye aliondoka ukumbini humo baada ya kukabidhi kitita cha Sh. milioni tano kwa kila mshindi wa tuzo mbili zilizotolewa.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na wasanii katika Siku ya Msanii.
NJENJE WAKONGA NYOYO
Baada ya Dk. Bilal kusepa, burudani iliendelea ambapo Kilimanjaro Band ‘Wananjenje’ walikamatia jukwaa na kukonga vilivyo nyoyo za wahudhuria.
Waimbaji wanaounda kundi la Yamoto Band Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani.
JOKATE AKATA MAUNO
Katika shoo ya Njenje, mwimbaji wake mashuhuri, Nyota Waziri alikuwa akitembea ukumbini kuwakatisha mauno wahudhuriaji na kuwataka wataje mahali wanakotokea  ambapo alipofika kwa Jokate, staa huyo alionesha umahiri mkubwa wa kukata mauno huku akijinadi kwamba anatokea Songea.
KOMEDI KUTOKA NAIROBI
Kilichofuata baadaye ni Kundi la The Omonds kutoka Nairobi, Kenya kupanda jukwaani na kuangusha komedi zilizowavunja mbavu wengi.
Baadaaye, ma-mc, Mauki na Jokate walipata nafasi ya kuzungumza chochote kabla ya kuwakaribisha Yamoto Band waliomaliza shughuli hiyo kwa kukamua ngoma zao kali zinazokimbiza mtaani kwa sasa.
Kwa picha zaidi angalia Uk. 8.
Imeandaliwa na Erick Evarist, Musa Mateja, Andrew Carlos, Nicolaus Trac na Dennis Mtima wa Global publishers.

SAD! Woman Poured Water On His Man’s Face For Sleeping Out.Warning!**Graphic Photos**



Kenyan woman poured hot water to her husband for sleeping out. It seems that these days women are taking the marriage law into their own hands, giving their men the final punishment that the government or any other authorities are unable to do. It is very unfortunate that battering has now crossed over to the men.

So many cases, in the social and electric media have been reported of how men are ill- treated by their wives. The question is, is there any justification for the current actions women are taking??? Some claim that their men are irresponsible, drunkards, lazy and that they have lost the father figures in their homes. This to some women is very true but they choose not to take the law in their hands. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.

AAA! SIAMINI...! HIVI KUMBE MTU UNAWEZA KUPATA MKE AU MUME MZURI KUPITIA FACEBOOK? HEBU CHEKI HAPA




Katika safari ya mapenzi wanandoa huwa wanakutana katika maeneo mbalimbali, wapo wanaokutana vyuoni,shuleni, kwenye nyumba za ibada, sokoni, kwenye daladala, kuunganishwa na mtu mwingine, au baada ya kusikia sauti kwenye simu, redioni, hotelini na sasa wengine kupitia mitandao ya kijamii kama facebook

Ukweli ni kwamba katika mitandao unapoanzisha uhusiano na mtu usiyemfahamu inawezekana ameona picha yako tu nakukuambia kuwa anakupenda na wewe ukiona picha yake ukaridhika naye mkaamua kuanzisha uhusino ni vyema kuonana kabisa ili kuwa na uhakika na uhusiano mnaotaka kuanzisha kwani unahitaji kumfahamu zaidi na ndipo utakapoweza kufanya maamuzi ya kukubali au kukataa.

Anaweza kuwa rafiki yako wa kawaida lakini uhusiano ukaja baada ya kuonana mkafahamiana zaidi, kwani ukikurupuka na kutaka kuoana haraka haraka na yule ambaye mna chat tu kwenye mitandao unaweza kujikuta unajuta baadaye kwa maamuzi yako ni vyema kufahamiana zaidi ya kuchat ili kuwa na uhakika na maamuzi yako....Je Wewe Unaonaje Kuhusu hilo?

AMAKWELI DUNIA IMECHAKAA: ETI YADAIWA MWANADADA ROSE MUHANDO KUBWIA UNGA!!!


Stori: Mwandishi Wetu HUKU mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii, nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando bado anaandamwa na madai mazito kwamba anatumia madawa ya kulevya ‘unga’ yanayomfanya kuwa hoi kiasi cha kushindwa kutokea kwenye matamasha mbalimbali anayolipwa fedha, Risasi Jumatano linateremka nayo.



Nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando. Kwa mujibu wa vyanzo, Rose anadaiwa kutumia unga kiasi kwamba, baada ya matumizi hujikuta akishindwa kufanya jambo lolote lile la kujitafutia mkate wake wa kila siku na ndiyo maana amekuwa akikwaa skendo za kupokea fedha za shoo halafu hatokei tu!

WATOA MADAI
Hivi karibuni, akina mama watatu walifika kwenye Ofisi za Global Publisheers na kumtolea madai Rose kuhusu tuhuma zanazomwandama kwamba amekuwa akiingia mitini na fedha za watu wanaomwita kwenye matamasha ya nyimbo za Injili.
“Sisi tunavyojua, Rose anatumia madawa, wengine wanasema unga wengine wanasema sijui nini huko. Sasa akishatumia hayo madawa huwa yanamfanya awe kama amelewa na kushindwa kufanya lolote.
“Huwa anafika hatua anashinda kitandani amelala tu na hawezi kutoka, ndiyo maana mtu anaweza kumpa pesa asitokee kuimba kwa sababu anashindwa kutoka ndani kwake.
“Kwa hiyo jamani, si suala la kumwandika tu kwamba anaingia mitini na fedha za watu bali mumsaidie Rose kama kweli mnampenda, sisi wenyewe tunamwombea kwa Mungu kila siku,” alisema mama mmoja kati ya hao waliofika lakini bila kutaja majina yao. MADAI SUGU
Madai ya kwamba, Rose anatumia madawa ni ya siku nyingi, wengi wamekuwa wakisema wana uhakika, wengine wanasema wanasikiasikia tu lakini hawana uhakika.

Mratibu wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama. Magazeti ya Global (Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Jumatano, Amani, Ijumaa na Risasi Jumamosi) yameshapokea madai hayo kwa muda mrefu lakini kilichokuwa kikifanyika ni kuendelea kumchunguza msanii huyo kuhusu madai hayo.
RISASI LAINGIA KAZINI KUCHUNGUZA
Kufuatia madai ya akina mama hao waliojitambulisha ni waumini wa kutoka katika kanisa moja la kilokole jijini Dar, gazeti hili liliamua kuingia kazini kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli au uongo wa madai hayo.
WATU WA KARIBU NA ROSE
Mtu wa kwanza kumtafuta ambaye gazeti hili liliamini kwamba anaweza kujua chochote kuhusu madai hayo ni mratibu wa Tamasha la Pasaka linalofanyika kila mwaka kwenye baadhi ya mikoa, Alex Msama.
Msama: “Mimi siwezi kusema ni kweli kwani sijawahi kumwona akitumia wala sijui kama ameathirika.”
Risasi Jumatano likamsaka Katibu wa Chama cha Waimba Injili Tanzania (Chawaita), Stela Joel: “Mimi sijui, kama unasema kuna watu wamekuja ofisini kwenu na kutoa madai hayo, basi wamwombee. Lakini tutachunguza.”
MCHUNGAJI
Risasi Jumatano pia lilibahatika kuzungumza na mchungaji mmoja (jina tunalo) ambaye alisema ameshawahi kusikia taarifa hizo akamuuliza Rose lakini alimkatalia kuwa si madai ya kweli.
“Ila ninachojua mimi ni kwamba, Rose amekuwa akitumia dawa f’lani (akazitaja jina). Hizi ni dawa zinazopatikana kwa njia ya sindano. Mara nyingi mtu akiwa hajiwezi kwa maana ya kushindwa kufanya kazi anachomwa hizi zinampa nguvu.
“Niliwahi kusikia kwamba, kuna daktari mmoja katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma (akamtaja jina). Huyu ndiye aliyekuwa akimchoma sindano zenye dawa hizo Rose pale mwili unapokuwa dhaifu.

Baadhi ya madawa yaliyowahi kukamatwa. “Ila madhara yake sasa, dawa ikiwa imekwisha mwilini, mtu anakuwa mlegevu, anahisi kizunguzungu au kulalalala, kutokwa jasho jingi na kuhisi anaumwa kiasi kwamba ukimwona unaweza kusema ni teja. Ni dawa ghali sana kwa dozi moja, nadhani ni shilingi laki sita,” alisema mchungaji huyo.
Akaongeza: “Nasikia Rose amefika mahali huwa anajichoma mwenyewe akipata dozi. Kwa hiyo kwa suala la kubwia unga nadhani alilikanusha.”
ROSE MWENYEWE SASA Risasi Jumatano, juzi lilimpigia simu Rose lakini hakupokea hata baada ya kurudia kumpigia mara kadhaa. Likamtumia meseji na kumsomea mashitaka yote, akajibu:
“Samahani sana nawaomba mnipumzishe kuniandika...najua ni nani na kwa nini ananitenda hivyo, ni kwa sababu anataka kunitumia kwa faida yake na ni mtu hatari sana kwangu na kwa taifa zima.
“Mtu huyo anafanya haya ili kuniziba mdomo kwani najua siri zake nyingi na nzito, nashindwa kusema ataniua.”
Hata hivyo, Rose alipotakiwa kumtaja kwa jina mtu huyo ambaye Risasi Jumatano halimjui, alikataa katakata akisema anaogopa!

MAUWAJI YA KIKATILI: AUAWA KWA KUPIGWA NONDO WILAYANI LUDEWA





Mke wa Marehemu Bi.Theodora Luoga akiwa jirani na mwili wa mume wake ni eneo ambalo mauaji hayo yalifanyika

Samahani ndugu wasomaji kwa picha hizi,mwili wa marehemu Merkion Mgimba(Msuruisi) ukiwa katika eneo la tukio.

DADA ZETU MMEAMUA KUCHARUKA..!MAVAZI MENGINE YA KUVAA JUKWAANI NI LAANA TUPU..WABONGO MSIIGE KABISA!














KWA MAPICHA ZAIDI

Nuh Mziwanda Ajichora Tattoo Nyingine Yenye Sura Ya Shilole.

Nuh Mziwanda amechora tattoo nyingine yenye sura ya mpenzi wake Shulole baada ya ile yenye jina la Shishi Beybee kama inavyoonekana. Wawili hao kwa nyakati tofauti wamekuwa wakikaririwa na media kwa kusema wanapenda na sana hakuna wa kuwatengenisha.

UKAWA SASA WAPASUA VICHWA KUTEUA NAFASI YA URAIS 2015 ILI KUING'OA CCM MADARANI



Kutekeleza hilo, Jumapili iliyopita wenyeviti wa vyama hivyo, Profesa Ibrahimu Lipumba (CUF), Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR- Mageuzi) na Dk Emmanuel Makaidi (NLD) walisaini makubaliano ya ushirikiano huo katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Jangwani.PICHA|MAKTABA


Dar es Salaam.
Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa mambo, ikiwa ni pamoja na mchakato wa kumpata mgombea urais, kabla ya filimbi ya uchaguzi kupulizwa.


Vyama hivyo vitalazimika kufanya uamuzi katika sera tofauti za vyama vyao, kukabiliana na Sheria ya Uchaguzi, taratibu za kupata wagombea wa kuanzia ngazi ya chini hadi urais na jinsi ya kuendesha kampeni zao kabla ya kuwaendea wananchi kuwaeleza kuwa wameshajizatiti kukabiliana na chama tawala, ambacho kina mtandao karibu nchi mzima uliojengwa kwa miaka mingi.


Vyama hivyo vimeibuka na nguvu mpya baada ya kuunganishwa na hoja ya kutetea Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo ilielezewa kuwa ilitokana na maoni ya wananchi na hivyo kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupambana na wajumbe wa CCM kwenye Bunge Maalumu la Katiba.


Vyama hivyo, Chadema, CUF, NCCR Mageuzi na NLD vilisusia mchakato wa Katiba kwa kile vilichodai kuwa ni kutoridhishwa na mambo yalivyokuwa yakiendeshwa na sasa umoja wao umekwenda mbali zaidi kutaka kushirikiana kwenye chaguzi.


Kutekeleza hilo, Jumapili iliyopita wenyeviti wa vyama hivyo, Profesa Ibrahimu Lipumba (CUF), Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR- Mageuzi) na Dk Emmanuel Makaidi (NLD) walisaini makubaliano ya ushirikiano huo katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Jangwani.


Moja ya kazi ngumu inayoukabili umoja huo ni jinsi ya kumpata mgombea wa urais atakayetoa upinzani mkubwa zaidi kwa mgombea wa chama tawala na kuendelea kupunguza kura za CCM baada ya mafanikio ya mwaka 2010 ya kupunguza asilimia 20 za kura alizopata RaisJakaya Kikwete mwaka 2005.


Kazi hiyo ngumu inatokana na tofauti za kisera baina ya vyama hivyo, wagombea urais wanaoonekana kuwa na sifa na matokeo ya uchaguzi uliopita uliompa mgombea wa Chadema, Dk Willibrod Slaa asilimia 26 ya kura zote na kuweka rekodi ya upinzani kukusanya kura nyingi.


Wakati Chadema ikitegemea mtaji wa Dk Slaa, ambaye ni katibu mkuu wa Chadema, wa asilimia 26.34 ya kura za mwaka 2010, CUF imekuwa ikimsimamisha mwenyekiti wake, Prof Lipumba katika chaguzi nne zilizopita, huku NCCR-Mageuzi ikiwa na mwenyekiti wake, james Mbatia na NLD ikiwa na Makaidi.


Mbowe alisema hilo halitakuwa tatizo kubwa katika kufikia uamuzi wa mgombea urais.
“Kwanza niseme tu kuwa hapa tulipofika haikuwa rahisi sana kama watu wanavyodhani, kwa hiyo yako mengi ambayo yamefanyika kwa kujadiliana na katika mchakato huu tumejifunza mengi. Kwa hiyo taratibu zitawekwa na zitafuatwa. Kutakuwa na vigezo na mambo kama hayo,” alisema mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alipozungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki akijaribu kuonyesha kuwa wamezingatia mambo mengi kabla ya kusaini makubaliano hayo.


“Suala la mgawanyo wa nafasi za kugombea haliwezi kutugombanisha. Ushindani si jambo geni kwetu maana tumekuwa na ushindani siyo sasa tu, bali hata ndani ya vyama. Hata katika chama kimoja huwa kuna wagombea zaidi ya mmoja.”


Kauli ya Mbowe iliungwa mkono na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila ambaye alisema ili kuondoa utata wowote unaoweza kujitokeza, kamati ya ufundi itaundwa kwa ajili ya kushughulikia masuala yote muhimu.


“Kamati hiyo itakayojumuisha vyama vyote, itatakiwa kutoa mwongozo wa nini kifanyike kulingana na masilahi na changamoto iliyopo kama inavyoelezwa katika azimio la Ukawa,” alisema Kafulila.


Uwezekano mkubwa ni Ukawa watalazimika kuamua kati ya Dk Slaa na Profesa Lipumba kwa kuwa tayari Mbatia, ambaye kwa sasa ni mbunge wa kuteuliwa, ameshaanza kampeni za kuwania ubunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro.


Historia ya kugombea
Katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995, Profesa Lipumba alipata kura 418,973, ikiwa ni asilimia 6.43 ya kura zote na kushika nafasi ya tatu akiwa nyuma ya mgombea wa CCM, Benjamin Mkapa aliyeibuka mshindi na Augustine Mrema.


Profesa Lipumba aliingia tena uchaguzi wa mwaka 2000 na kushika nafasi ya pili baada ya kuzoa kura 1,329,007 (sawa na asilimia 16.26) akiwa nyuma ya Mkapa na uchaguzi uliofuata alipata kura 1,327,125 (sawa na asilimia 11.68) kabla ya kushuka tena mwaka 2010 alipopata kura 695,667 (asilimia 8.06).


Dk Slaa alishangaza wengi alipoamua kutogombea ubunge mwaka 2010 baada ya Chadema kumteua kugombea urais. Mwaka huo, Dk Slaa alipata kura 2,271,941 (sawa na asilimia 26.34), matokeo ambayo yalishusha ushindi wa kishindo wa CCM wa mwaka 2005 kutoka asilimia 80.28 hadi asilimia 61.17 mwaka 2010.


Takwimu hizo na masuala mengine yatakuwa moja ya mambo ambayo Ukawa watalazimika kukuna vichwa kabla ya kumchagua mgombea wao.


Jambo ambalo litakuwa faraja kwao ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya kura za wapinzani mwaka 2010.
Mwaka 1995 jumla ya kura za wapinzani zilikuwa 2,486,323, sawa na asilimia 38.17, lakini uchaguzi uliofuata 2000 wapinzani walipata jumla ya kura 2,309,123, sawa na asilimia 28.26 na kupungua zaidi mwaka 2005 walipopata kura 2,241,525 (sawa na asilimia 19.72. Mwaka 2010, upinzani uliibuka kwa nguvu na kusomba kura 3,121,136. Ingawa kwa asilimia, kura hizo zilikuwa asilimia 37.16 pungufu ya asilimia za uchaguzi wa 1995, idadi ya kura za wapinzani ilikuwa kubwa kwa tofauti ya zaidi ya kura 700,000, hali inayoashiria mwamko mpya kwa wapinzani.


“Kwa sasa wanatakiwa kuwa makini na propaganda za CCM, kwani ni rahisi kusambaratishwa kabla ya 2015. Hivyo wahakikishe wanapata mgombea atakayekuwa tishio kwa CCM,” alisema Profesa George Shumbusho wa Chuo Kikuu cha Mzumbe.


“Ni muhimu kama wamesaini makubaliano hayo wakati kuna jambo zito mbele yao na bado kuna hofu ya kuimarika kwao.”


Pia, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Eligius Danda alionyesha wasiwasi, akisema umoja huo umejikita zaidi katika kutafuta njia ya kwenda Ikulu, akiungana na mawazo ya Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitila Mkumbo.


“Wote wanne bado nina wasiwasi na dhamira zao. Viongozi walioko kwenye fikra ya madaraka siyo viongozi sahihi kwenye vyama vya siasa,” alisema Danda.


Danda alisema ili muungano huo uwe na nguvu na kukubalika, ni lazima dhamira zao ziwe katika kushughulikia matatizo ya msingi ya wananchi, lakini siyo kujikita katika kutafuta madaraka.


Suala la mgombea urais wa Zanzibar halionekani kuwa na kikwazo kikubwa kutokana na nguvu ya CUF visiwani humo pamoja na kukubalika kwa katibu mkuu wake, Maalim Seif Sharrif hamad.


Kumalizika kwa suala la urais wa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar, kutafungua mlango kwa suala jingine gumu kutafutiwa ufumbuzi; wagombea wa ubunge katika majimbo, hasa ya Bara.


Vyama hivyo vimejenga ngome zake katika maeneo tofauti Bara na Zanzibar. Wakati CUF ina uhakika na viti vingi vya Zanzibar, hasa Pemba na baadhi ya mikoa ya Bara, Chadema, NCCR-Mageuzi na NLD vimegawana majimbo ya Bara, huku Chadema ikiongoza kwa kuwa na majimbo mengi.


Kazi ngumu itakuwa ni kuamua mgombea katika majimbo ambayo wagombea wa vyama hivyo wanapambana vikali, hasa majimbo ya Ubungo, Vunjo na Tarime.


Katika Jimbo la Ubungo, Ukawa watalazimika kufanya uamuzi kati ya mbunge wa sasa kutoka Chadema, John Mnyika na Julius Mtatiro wa CUF, wakati jimbo la Vunjo linaweza kuwa na mvutano baina ya Mbatia na John Mrema wa Chadema, ambao wameonyesha nia ya kuwania ubunge, huku CUF na Chadema wakichuana Tarime ambako jumla ya kura zao kwenye uchaguzi uliopita zingeweza kumuondoa mgombea wa CCM. Hali hiyo iko katika majimbo mengi ambayo vyama hivyo vilipambana vikali mwaka 2010.


Katika majimbo ambayo CCM ina nguvu, Ukawa wanaweza kuwa na matatizo zaidi katika kufanya uamuzi kwa kuwa yanaweza kuzua wagombea wengi kutoka vyama vinavyounda umoja huo ambao watadai kuwa ndio wanaoweza kupambana na chama hicho tawala. Mikoa kama ya Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Ruvuma na wilaya ambazo ziko pembezoni, CCM ina nguvu kubwa, lakini Ukawa itakuwa katika hali ngumu kufanya uamuzi wa kupata mgombea.MWANANCHI

LORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

Mashuhuda wakieleza yaliyotokea.
Wafanyakazi kampuni inayomiliki lori hilo ambayo bado haijafahamika, wakifanya tathmini ya hasara iliyopatikana.
Sehemu ya matairi ilivyobaki.
Sehemu ya juu ilivyoungua.
Maofisa wa polisi wakijadiliana la  kufanya.
…Wakielekea eneo la tukio baada ya kufikia muafaka.Askari wakilinda usalama eneo la ajali.Afisa wa polisi akimpa maelekezo askari wa usalama barabarani.
Mashuhuda kila mmoja akieleza lake.
Madereva wa bodaboda wakiwa wameacha shughuli zao ili kushuhudia tukio hilo.
LORI la mafuta aina ya Scania likiwa limesheheni dizeli likitokea bandarini jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani, liligonga tuta katika Barabara ya Morogoro, eneo la Kimara-Baruti,  likapoteza mwelekeo na kupinduka kisha kuwaka moto na kuteketea kabisa.
Wakati lori hilo likiwaka, mafuta yenye moto yalisambaa na kutaka kuunguza nyumba za jirani lakini Kikosi cha Uokoaji na Zima Moto cha Halmashauri ya Jiji, kiliwahi kufika eneo la tukio na kuudhibiti moto huo. 
Tukio hilo limesababisha usumbufu mkubwa kwa magari yanayotumia njia hiyo kutokana na sehemu hiyo kupitika kwa shida.
(HABARI/PICHA : RICHARD BUKOS / GPL )

Filamu hiyo inataoka rasmi mwezi ujao.

Sabby Angel, Dude Na King Majuto Wanakuja Kuwashika Na Sio Riziki.

Mastaa wa filamu nchini Sabby Angel, Dude Kulwa Kikumba na King Majuto wanakuja kuwashika mashabiki wa filamu za kitanzania na filamu ya "Sio Riziki". Filamu hiyo ambayo imetengenezwa na Sabby Angel inahusu maisha yake ya kweli kwa jinsi alivyoteseka kwa ajili ya mapenzi.

Filamu hiyo inataoka rasmi mwezi ujao.
 Uongozi wa ubalozini.blogspot.com  tunaitakia mema familia hii izidi kuwa na kheri hasa katika maisha haya ya ndoa.
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/10/picha-sherehe-ya-miaka-10-ya-ndoa-ya.html#sthash.VAk8CEsg.dpuf

PICHA// SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YA INSPECTOR HAROUN BABU

 
 Oct 25 2004 mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya na mwana mapinduzi wa mziki huu Inspector Haroun Babu alifunga pingu za maisha. Ni miaka 10 sasa ya ndoa yake. Th 25 alifanya party ya shukrani kwa kudumu kw amuda wote ndani ya ndoa.
 
 "Hey watu wangu nawashukuru sana walioungana nami na familia yangu na kunisapoti siku ya jana shukrani za dhati ziwafikie wote waliofanikisha shughuli yangu kwa namna moja au nyingine shukrani kw wasanii wenzangu lwp,mabagafresh,domokaya,young tuso,luten karama,Pnc,suma g,miss bella nawengine pia nawashukuru sana  ahsanteni sana mwisho kwenu nyinyi wadau mashabiki coz nyinyi ndo mabosi wangu na ndo mnanipa moyo kilakukicha nakunifanya niendelee kuwepo kwa game ahsanteni pia namshukuru allah jah yehova kwani yeye ndo kilakitu na ndie anajalia punzi zetu sote, marafiki wote wa page yangu hapa fb ahsanteni kwa sapoti yenu nashukuru kufanikisha na kumaliza salama show ya jana"
  
Inspecto amekuwa mfano wa kuigwa si kwa wanamuziki wenzake bali ni kwa vijana wote wa sasa .
 
 Uongozi wa ubalozini.blogspot.com  tunaitakia mema familia hii izidi kuwa na kheri hasa katika maisha haya ya ndoa.
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/10/picha-sherehe-ya-miaka-10-ya-ndoa-ya.html#sthash.VAk8CEsg.dpuf©2014 Bashir Nkoromo

Wednesday, October 29, 2014

ANGALIA PICHA ZA TRENI ILIYOANGUKA LEO VINGUNGUTI



 Tren yaangusha behewa  maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wameshafika eneo la tukio watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mohamed 


enterprises na Azam. Angalia Picha. CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.







©2014 Bashir Nkoromo

Wednesday, October 29, 2014

ANGALIA PICHA ZA TRENI ILIYOANGUKA LEO VINGUNGUTI



 Tren yaangusha behewa  maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wameshafika eneo la tukio watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mohamed 


enterprises na Azam. Angalia Picha. CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.







HATIMAYE CHIDI BENZI APATA DHAMANA

Chid Benz akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.

HATIMAYE  msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya.
Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa 

na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili wasiokuwana hatia.

Kesi yake itasikilizwa tena Novemba 11 mwaka huu.