Wednesday, 2 April 2014

YULE MBEBEZ ALIYEAMBUKIZA HIV WANAUME ZAIDI YA 340 KENYA SASA AIBUKIA NA KIBABU CHA KIZUNGU WAONE HAPA TENA LIVE!!



YULE MBEBEZ ALIYEAMBUKIZA HIV WANAUME ZAIDI YA 340 KENYA SASA AIBUKIA NA KIBABU CHA KIZUNGU WAONE HAPA TENA LIVE!!

 

Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle
amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume
wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenyemajina makubwa
nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangazaji maarufu nchini humo.





Kwamujibu wa chanzo cha habari hizi
(chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu mwenye asili ya kiyaudi
walikutana kwenye mtandao wakijamii  baada ya babu kupitia akaunti yake
kuandika anataka kusaidia msichana mwenye HIV.










THE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR IRENE UWOYA BAADA YA KULEWA MAPOMBE CHAKARI AFANYA MAMBO YA AJABU LE MBURULAZZZZ ON HAPA LIVE!!






 Hapa Owoya akifurahi jambo toka kwa Baba haji kabla ya kukolea kilaji.

Mmh hapo sasa sijui alikuwa anahitaji nini Owoya kwani akiwa amemgusa sehemu nyeti baba haji.


Na Laulant Samata
Kamera
za kisasa za gazeti la Maskani Bongo zilizokuwa zimesambaa ukimbi mzima
kwenye party ya Bongo movie zilifanikiwa kunasa tukio moja la aibu toka
kwa mastaa Irene Uwoya na Baba Haji wakiwa wamegandana kama ruba huku
wakipapasana sehemu nyeti.

CREDIT: MASKANI BONGO, PATA KOPI YAKO LEO JUMATANO MTAANI

Download Z-Anto - Ukipendwa Ringa












Download Z-Anto - Ukipendwa Ringa



Singer Name;Z-anto



Song Name:Ukipendwa Ringa



Country; Tanzania

 

Genre; Bongo Flavour,



Studio: Mazuu records



Bonyeza HAPA ku Download

BARUA NZITO: DADA MAINDA, HEBU ONA AIBU BASI!!



BARUA NZITO: DADA MAINDA, HEBU ONA AIBU BASI!!








Staa wa Bongo Muvi, Ruth Suka ‘Mainda’.
KWAKO,
Ruth Suka ‘Mainda’, zamani uliitwa
Mwanaidi kabla ya kungia kwenye ‘njia hii’. Ni imani yangu unaendelea
vyema na shughuli zako za kila siku. Kwanza nakupa pole kwa habari
iliyotoka katika gazeti damu moja na hili, Ijumaa Wikienda, toleo la
Jumatatu iliyopita (achana na la juzi).
Habari hiyo ilikuwa na kichwa kinachosomeka: MADAI MAZITO... MAINDA MJAMZITO!Inawezekana habari hiyo haikukufurahisha kutokana na maneno uliyoandika kwenye mitandao ya kijamii ukikanusha vikali.

Ulichokuwa unajaribu kufanya ni
kutudhalilisha sisi kama wanataaluma ya habari tuonekane ni wazushi,
hatujui miiko ya kazi yetu. Nilipitia ujumbe wako mstari kwa mstari,
nikagundua mahali palipokukwaza.
Lakini Mainda, hebu nikuulize kitu:
kuwa na mimba ni kosa? Ni kashfa? Isitoshe, gazeti  lilieleza juu ya
madai hayo na kuyafuatilia.
Habari ilizingatia kanuni zote,
ikiwemo kukupa haki ya kutoa ufafanuzi. Siku kadhaa nyuma, uliwahi
kueleza mwenyewe kuwa kutokana na chango lililokuwa linakusumbua,
ulishauriwa kupata mimba ili uwe sawa. Hapo tulitunga sisi?
Mwisho wa waraka wako, nikapata picha
ya tofauti. Hasa pale ulipokanusha kuwa eti umezushiwa kuwa uliwahi
kuchoropoa mimba! Nani angejua siri zako kama usingesema?
Nafikiri
tatizo siyo mimba, ila kinachoonekana kuwa tatizo kwako ni Ray (Vincent
Kigosi) kuhusishwa katika habari ile. Tatizo ni nini? Si wewe mwenyewe
ulisema uliwahi kutoa mimba ya Ray?
Ulizungumza mbele ya wahariri huku vyombo vya kurekodia vikiwa mbele yako, iweje leo unakanusha?

Ngoja ninukuu sehemu ya habari hiyo
ambayo pengine ndiyo imekuchefua: ‘Kama kweli Mainda atakuwa mjamzito
basi itakuwa ni mimba ya pili baada ya kukiri kuwa aliwahi kuchoropoa ya
aliyekuwa mtu wake, mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ ambaye
walishamwagana’.
Kuna kosa hapo? Maana umelalamika ni
kwa nini unahusishwa na mtu ambaye huna uhusiano naye. Sikia Mainda,
huwezi kubadili historia. Ray ni sehemu ya historia ya maisha yako,
maana umekiri mwenyewe kuwa aliwahi kuwa mpenzi wako.
Umesema mwenyewe kuwa, uliwahi kupata mimba yake, lakini baadaye ukaichomoa. Nikukumbushe? Angalia chini hapa...
Risasi:
Unauzungumziaje uhusiano wako na Ray? Namaanisha ni nini hasa ambacho
hakitaweza kufutika kirahisi katika kumbukumbu zako?
Mainda: Daah! (anavuta pumzi ndefu
kisha anazishusha) nilimpenda sana Ray. Ilifikia hatua nikapata mimba
yake. Mapenzi yetu yakaongezeka lakini kwa bahati mbaya ilitunga nje ya
kizazi na ilinitesa sana, tena kwa kuwa ilikuwa ni mimba ya kwanza
sikuwa nimejitambua mapema. Madaktari wakashauri niitoe, nikakubaliana
nao.
Hiyo ni sehemu ya mahojiano yako na
wahariri wa Global ambayo habari yake iliandikwa na Mwandishi Wetu,
ikatoka katika gazeti hili ikiwa na kichwa: MAINDA: NIMETOA MIMBA YA
RAY!


Nani anadanganya? Sisi au wewe? Kuwa
mkweli bwana. Heshima yako kama kioo cha jamii ni kubwa. Si jambo jema
kuwashushia heshima watu ambao wamechangia kukupa heshima!
Hebu ona aibu basi!

Yuleyule,

Mkweli daima,

.............................

Joseph Shaluwa.

UTAJIRI WA MASANJA KUFURU:ANAMAGARI 6 YA KIFAHARI,KAMPUNI YA ULINZI NA MASHAMBA YA MPUNGA



UTAJIRI WA MASANJA KUFURU:ANAMAGARI 6 YA KIFAHARI,KAMPUNI YA ULINZI NA MASHAMBA YA MPUNGA

UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, 
Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa
anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi
Bongo, 
Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.

Awali, habari kuhusu utajiri wa
Masanja ilitua mezani kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia
mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na
kugundua kuwa ni kati ya mastaa mabilionea Bongo.
“Masanja sio yule tena. Ana mpunga
(fedha) mrefu sana. Hakuna msanii wa maigizo Bongo anayeweza kumfikia
kwa sasa. Hao wengine ni mbwembwe tu, lakini pesa imelala kwa Masanja,”
kilipasha chanzo chetu.
Kikaongeza: “Kwanza ana ghorofa lipo
Tabata, hapo ndipo anapoishi. Pia ana magari kibao ya kifahari, mashamba
ya mpunga na Kampuni ya OK Security inayolinda sehemu mbalimbali
zikiwemo taasisi nyeti nchini.
Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa kwenye pozi na miongoni mwa magari yake.
“Ni msanii gani mwenye kampuni kubwa
kama ya Masanja? Wengi wanaishia kudai wanatayarisha filamu ambazo hata
matunda yake hayaonekani.”

Mdogomdogo, Risasi Mchanganyiko likajitupa mtaani kuchimba kuhusu madai hayo ambayo awali liliyatilia shaka kama si wasiwasi.
Uchunguzi wetu ulibaini ukweli wa mali za msanii huyo na mambo mengine mengi yanayoingia kama vyanzo vya mapato yake.
MAGARI SITA
Ilibainika
kuwa, Masanja anamiliki magari sita, yakiwemo ya kifahari. Baadhi ya
magari hayo ni Toyota Land Cruiser V8, Nissan Hardboad na Toyota
Verossa.

NYUMBA TATU BONGO
Pia,
mkali huyo wa kuvunja mbavu, anamiliki nyumba tatu za maana jijini Dar
es Salaam, moja ni ghorofa ipo Tabata, nyingine Kigamboni na nyingine
haifahamiki eneo rasmi ilipo.
Hata hivyo, imebainika kuwa mbali na mijengo yake hiyo iliyopo jijini Dar, nyumbani kwao Mbarali, Mbeya ana mjengo wa maana.

MASHAMBA KIBAO
Msanii
huyo hayupo nyuma kwenye kilimo, ana mashamba kadhaa Kigamboni jijini
Dar es Salaam lakini linalotia fora ni lile lililopo Mbarali lenye
ukubwa wa hekari 50 ambalo analima mpunga.

NI MSANII WAMAIGIZO TAJIRI ZAIDI?
Kwa utajiri huo, ipo minong’ono kuwa, nyota huyo anaweza kuwa kwenye namba za juu za wasanii wa maigizo wenye mkwanja mrefu.
Wengine
wanaotajwa kwenye orodha ya waigizaji matajiri Bongo ni Husna Posh
‘Dotnata’, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ na Amri Athumani ‘Mzee Majuto’.
MATAJIRI BONGO FLEVA
Katika
muziki wa Bongo Fleva, wasanii wanaoaminika wana utajiri mkubwa zaidi
ni Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Joseph Haule
‘Profesa Jay’.
Wasanii hao wanamiliki mijengo ya maana, achilia mbali magari ya kifahari na miradi kadhaa.

MASWALI KUHUSU MASANJA
Utajiri
wa Masanja umeonekana kuibuka ghafla huku vyanzo vyake vya kumwingizia
kipato vikijulikana ni sanaa ya uigizaji, muziki na huduma ya uchungaji.
Je, kwa uigizaji tu katika Kundi la Orijino Komedi ‘OK’ ndiko alikopata mkwanja huo na kuanzisha miradi hiyo mikubwa?
Kama ndiyo, kwa nini memba wenzake ndani ya kundi hilo hawana maendeleo makubwa kama yeye?
Kazi
nyingine ya Masanja ni muziki wa Injili ambapo kwa sasa albamu yake ya
Hakuna Jipya iko sokoni. Je, albamu hiyo na shoo anazofanya zinaweza
kuwa chanzo cha utajiri huo?
Lakini pia Masanja ni mchungaji
ambaye anahudumu katika Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania
(EAGT) ‘Mito ya Baraka’ lilicho chini ya Askofu Bruno Mwakiborwa. Je,
mshahara anaoupata kutokana na huduma hiyo unaweza kuwa chanzo cha
mapato yake?
paparazi alikutaka kupasua kichwa,
juzi lilimsaka Masanja kwa simu na kumhoji juu ya mali zake ambapo
kwanza alithibitisha kweli anamiliki mali hizo na nyingine ambazo
hakupenda kuzitaja.
“Ni kweli nina nyumba tatu hapa
mjini, kampuni ya ulinzi na mashamba ya mpunga eka 50 nyumbani Mbarali,
Mbeya. Kuhusu magari pia ni kweli kabisa. Mimi ni mtumishi sitakiwi
kusema uongo,” alisema Masanja.
paparazi: Lakini mbona utajiri wako umekuwa wa haraka sana mtumishi, vipi vyanzo vya mapato yako?
MASANJA: Orijino Komedi ndiyo chanzo cha vyote... pale ndipo kwenye koki.
paparazi: Kuchekesha tu kaka? Au kwenye muziki wa Injili pia kunalipa?
MASANJA:
Injili na uchungaji ninaotumika kanisani ni huduma kaka, sitegemei
mapato kutoka huko. Nipo kwa ajili ya kulisha kondoo wa Bwana.
paparazi: Wasanii wenzako wa Orijino Komedi wanachukuaje mafanikio yako?
MASANJA:
Wanafurahia, wananiunga mkono maana ni sehemu ya mafanikio yao pia.
Sisi tunaishi kama ndugu. Kwa hiyo kuna baadhi ya aidia ni zao, hivyo
wanajivunia sana mafanikio yangu.
Tuituitui! Simu ikakatika! Risasi likaenda mtamboni.

KUMBE WASANII WENGI WA BONGO MOVIES NI WAATHIRIKA WA UKIMWI..?? SOMA ALICHOKISEMA JINI KABULA JUU YA HILI..!!



KUMBE WASANII WENGI WA BONGO MOVIES NI WAATHIRIKA WA UKIMWI..?? SOMA ALICHOKISEMA JINI KABULA JUU YA HILI..!!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPEfclpabeMKOZRmNSZe2d9hlqxyhTCPwiOSmodP9qkVysJSkp6f_8sAW03SHeXMoSDk4igtFPFUzJrJeKOu1tkvmO7-xhWWE7O5BfHfwzRNovfbM-TCZFOkqzRhVxTGRjh6RMaANHoI0/s640/Miriam-Jolwa-Kabula-cut.jpg 




Katika
hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo
movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema
kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei litawateketeza wasanii wote wa
Bongo movie na hakuna atakaebaki kama hawatobadilika kitabia.


Akiongea
Sio siri kwa mfano leo hii wasanii wote bongo movie waseme wakamatwe
kinguvu wakapimwe HIV utaona hali ilivyokuwa mbaya na sijui hata mmoja
atakuwa mzima na sababu kubwa ni njaa ambapo sisi wengi wetu tuna majina
lakini hatuna kitu hivyo hiyo hutoa nafasi ya kujirahisha ili kupata
pesa" Alisem Kabula kwa uchungu.