Saturday, 25 January 2014

SIRI IMEVUJA: KUMBE MIMBA YA ODAMA NI YA KIGOGO SERIKALINI,,,,!



SIRI IMEVUJA: KUMBE MIMBA YA ODAMA NI YA KIGOGO SERIKALINI,,,,!




Jennifer Kyaka ‘Odama’.


Imevuja!
Kumbe kile ‘kibendi’ cha staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka
‘Odama’ ni cha kigogo mmoja serikalini na ndiyo sababu kubwa ya
mwigizaji huyo kufanya siri nzito juu ya ujauzito huo.
Kama mbu
aenezavyo ugonjwa wa malaria, ndivyo rafiki wa karibu na msanii huyo
alivyotunyetishia juu ya usiri huo huku akisisitiza hifadhi ya jina.



Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu mwanzoni mwa wiki hii,
rafiki huyo alisema kwa sauti tulivu kuwa mimba ya Odama ni ya bosi
mkubwa wa moja ya wizara nyeti hapa nchini (jina na wizara vinavunda
kwenye droo zetu) na kwamba moja kati ya masharti magumu aliyompa ni
kuhakikisha jambo hilo linabaki kuwa siri hadi Yesu atakaporudi.




 


Ilisemekana kuwa usiri huo unatokana na madai kwamba kigogo huyo ni mume wa mtu.

Akiendelea kumwaga mchele kwenye kuku wengi, ‘kikulacho’ huyo alisema
licha ya Odama kupata huduma zote bora anazostahili mjamzito lakini hana
raha kwani furaha ya mjamzito ni pamoja na kumnadi mhusika wa ‘mzigo’
jambo ambalo limekuwa likimnyima raha.

MSIKIE ODAMA

Baada ya kunyetishiwa habari hizo, gazeti hili lilimsaka Odama kupata
ukweli juu ya jambo hilo ambapo alitiririka: “Nani kawaambia tena? Aaah,
mmnh! Nitawaambia baadaye bwana kwa sasa niacheni kwanza nina mambo
yananisumbua, muda ukifika mtajua tu.”



KIGOGO ATAFUTWA

Kama kawaida yetu kujiridhisha kwa kina juu ya habari yoyote, kwa
pointi hiyo mwandishi wetu alisaka namba za simu ya mkononi ya kigogo
huyo na alipopigiwa alijibu kwa kifupi: “Niko kwenye kikao tuma meseji.”

Licha ya mwandishi wetu kutuma ujumbe mfupi wa madai hayo kwa simu
lakini kigogo huyo hakujibu chochote hadi gazeti hili ‘linajipeperusha’
kwenda mitamboni kuchapishwa, hivyo jitihada za kunasa undani zaidi wa
habari hii zinaendelea.


HIKI NDICHO KINACHOENDELEA KATI YA SHILOLE NA HUYU MCHUNGAJI MTUMISHI WA MUNGU



HIKI NDICHO KINACHOENDELEA KATI YA SHILOLE NA HUYU MCHUNGAJI MTUMISHI WA MUNGU









STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa jukwaani akifanya shoo ya kidunia na kupewa darasa la wokovu.



Zuwena Mohamed ‘Shilole’(kulia) na Mchungaji.



Tukio hilo lililowagusa wengi, lilitokea juzikati katika Ukumbi wa
Diamond Jubilee, jijini Dar ambapo mchungaji huyo ambaye hakupenda
kujitambulisha jina lake, alifuatilia shoo ya Shilole kisha akamwita
kumpa darasa la wokovu.



Akizungumzia tukio hilo kwa kinasa sauti cha Weekly Exlusive Star,
Shilole aliweka plain kuwa, mchungaji huyo aliguswa na namna ambavyo
watu wengi walikuwa wakifuatilia shoo yake, akaona anaweza kuwabadilisha
wengi waliopotea kupitia wokovu.



“Aisee
ilikuwa noma, nilipoona ananiita nilishtuka kidogo. Mbaya zaidi
aliniambia anataka tupige picha pamoja, ndipo alipoanza kunipa darasa la
wokovu.



“Alinitaka nibadilike kimavazi, pia nisimsahau Mungu katika maisha
yangu yote na alimalizia kwa kunitaka niende kanisani kwake ili
ikwezekana nitumie uimbaji wangu kuwabadilisha wengi waweze kumtumaini
Bwana,” alisema Shilole staa wa wimbo Nakomaa na Jiji.



Hata hivyo, katika mazungumzo hayo, Shilole alionekana kuguswa na
maneno ya mchungaji huyo na kusema yamemkumbusha suala la kumkumbuka
Mungu kila wakati katika kazi za mikono yake.



Akasema kwa kuzingatia hilo, sehemu ya mapato yake atakuwa akiyatumia
katika kutoa sadaka husan kwa watu wasiojiweza ili kutimiza amri ya
Mungu.



“Ni wakati wa kubadilika, huu muziki tunafanya  upo na utaendelea
kuwepo lakini jambo la muhimu sana ni kumuabudu Mungu katika siku zote
za maisha yetu ya hapa duniani,” alisema Shilole.


MSANII WA BONGO MOVIE ANYWA SUMU NA KUTAKA KUJIUA ...KISA PENZI LA MDOGO WAKE KANUMBA



MSANII WA BONGO MOVIE ANYWA SUMU NA KUTAKA KUJIUA ...KISA PENZI LA MDOGO WAKE KANUMBA

MSANII
chipukizi wa filamu wa Kundi la Mwamba Arts, Mariam Glant (20)
amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la
kijana aliyejifanya mdogo wa Kanumba anayejulikana kwa jina moja la
Chief.





Msanii chipukizi wa filamu wa Kundi la Mwamba Arts, Mariam Glant.

Akizungumza na paparazi wetu sosi wa karibu na msanii huyo alisema
siku ya tukio, Mariam alikuwa nyumbani kwa rafiki yake wa kike maeneo ya
Mbezi Mwisho, jijini Dar ambapo rafiki yake huyo alitoka kidogo na
kumuacha peke yake nyumbani hapo.



Sosi huyo alisema baada ya muda mfupi alitumiwa ujumbe mfupi wa
maneno kutoka kwa Mariam ukisema ‘mimi ndiyo nakufa hivyo nimekunywa
sumu.’



Baada ya rafiki huyo kupata ujumbe huo, alirudi nyumbani haraka na
kumkuta Mariamu akiwa amezimia huku akitokwa na mapovu mdomoni ambapo
kwa kushirikiana na wasamaria wema walimchukua na kumkimbiza kituo cha
polisi kuchukua PF3 na kumpeleka hospitali ya tumbi ambapo alipatiwa
matibabu.
Akielezea kwa uchungu baada ya kupata ahueni, Mariam
alisema yeye na mpenzi wake huyo waligombana siku chache kabla
hajachukua uamuzi wa kunywa sumu.



“Sababu kubwa iliyonifanya ninywe sumu ni huyo mwanaume kwa sababu
kwanza alinidanganya yeye ni mdogo wake Kanumba na nikiwa naye kimapenzi
atanitoa kisanaa na nitakuwa maarufu lakini baada ya kuingia kwenye
uhusiano hakunisaidia chochote zaidi nilikuja kugundua kwamba hana hata
undugu na Kanumba tukagombana,” alisema Mariam aliyeng’ara katika sinema
za Mwanamipango Comedi, Gods Kingdom na M23.



Diamond na Hamisa Mobeto wadaiwa kuwa ni Wapenzi wa muda mrefu....Wema Sepetu ashauriwa kufungasha virago

Diamond na Hamisa Mobeto wadaiwa kuwa ni Wapenzi wa muda mrefu....Wema Sepetu ashauriwa kufungasha virago










Hamisa Hassan Mobeto ambaye ni model na actress anayekimbiza katika tasnia
ya filamu nchini anadaiwa kuwa mapenzini na Diamond Platinumz a.k.a
Sukari ya warembo huku uhusiano wao ukidaiwa kuwa wa muda mrefu.....


Chanzo
kimoja kilichodai kuwa karibu na Hamisa
ambaye alishawahi kushiriki  katika  mashindano  ya  Miss Tanzania
kiliuambia mtandao wa Swahiliworld  kuwa   Hamisa na Diamond  ni 
wapenzi  wa  muda  mrefu  na  kwamba  Wema  Sepetu  hana  lake  kwa 
Diamond:


 
 "Hivi

mnajua kuwa Diamond anawachanganya kwa wakati mmoja Wema na Hamisa
Mobeto?, Hamisa na Diamond ni wapenzi wa muda mrefu sana lakini 
wanafanya siri...Hamisa anamwangalia tu Wema akiwewesekea penzi la
Diamond huku yeye
akijilia kivyake".Kilisema  chanzo  hicho


 




Hamisa alipotafutwa ili kutolea ufafanuzi madai hayo hakuweza kupatikana  mara  moja.


Friday, 24 January 2014

Download | RikyVato ft ShedyVato, BAM & FidoVato - Bullet [Audio]

Download | RikyVato ft ShedyVato, BAM & FidoVato - Bullet [Audio]http://www.hulkshare.com/nolniz/rikyvato-ft-shedyvato-bam-fidovato-bullet




RikyVato anadrop na wimbo "BULLET" juu ya beat ya TNS
Riddim na vocal pande za Noizmekah, akiwa amewashirikisha ShedyVato
toka Vato Gangz, BAM kutoka Wasumbufu Camp pamoja na kiongozi wa
Vatoloco soldiers, FidoRambo aka  FidoVato, click HAPA
kudownload/Kusikiliza na kwa mawasilianno zaidi check na RikyVato kwa
nambari +255 718 229 154

Download | Lil Stiggar Ft Rado - Let Me Love You [Audio]

Download | Lil Stiggar Ft Rado - Let Me Love You [Audio]http://www.hulkshare.com/nolniz/lil-stiggar-ft-rado-let-me-love-you-produced-by-gachi-green-rec


Download | Nasser ft Dipper & Defxtro - Day By Day [Audio]



Download | Nasser ft Dipper & Defxtro - Day By Day [Audio]









MAPENZI YALIVYOFIKA UKINGONI JAMAA AKAMWAGA PICHA ZA UTUPU ZA MPENZI WAKE MITANDAONI..! NI MARUFUKU KWA MTU YEYOTE MWENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA (18) KUTAZAMA PICHA HIZI..



MAPENZI YALIVYOFIKA UKINGONI JAMAA AKAMWAGA PICHA ZA UTUPU ZA MPENZI
WAKE MITANDAONI..! NI MARUFUKU KWA MTU YEYOTE MWENYE UMRI WA CHINI YA
MIAKA (18) KUTAZAMA PICHA HIZI..











Wadau poleni na kazi za leo,ok
Utandawazi umeendelea kuwaangamiza dada zetu wanaopenda kuiga mambo wasiyoyajua....

Katika uchunguzi wetu, mtandao huu umefanikiwa kuzinasa picha za mrembo huyu akiwa katika


Mapozi tofauti ya nusu uchi.

TAHADHARI PICHA HIZI HAZINA MAADILI.....NI WAKUBWA TU NDIO WANARUHUSIWA KUTAZAMA...HIYARI YAKO!!!!


>>>PICHA YA 1<<<

>>>PICHA YA 2<<<

>>>PICHA YA 3<<<

>>>PICHA ZAIDI<<<
  KWA MAPICHA MENGINE KAMA HAYA <<BOFYA HAPA LIKE PAGE UJIONEE MWENYEWE>>


sasa
leo tumezinasa picha zamwanadada ambaye amepigwa picha na mchumba wake
na kwa bahati nzuri/mbaya mtandao wa paparazi umezinasa....

Kuna
kitu huwa najiuliza sipati majibu ya kuridhisha,Hivi kama una mchumba
unaetarajia kumuoa/kuoana unaweza kumpiga picha za uchi?au video za
uchi?


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

JAMANI DUNIA INA MAMBO: BABA AMLIPUA MWANAE MOTO, SOMA KISA HAPA



JAMANI DUNIA INA MAMBO: BABA AMLIPUA MWANAE MOTO, SOMA KISA HAPA







Stori: Francis godwin, Iringa
HUU ni
ukatili uliopitiliza! Wakati wanaharakati mbalimbali nchini wakiwemo
wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) wakipinga vikali vitendo vya
ukatili, baba wa kufikia, Musa Mdetela, mkazi wa mjini hapa anasakwa na
polisi kwa kosa la kuwachoma moto miguuni wanaye wa kambo.


Mdetela
anadaiwa kuwafanyia unyama huo watoto hao, Baraka anayesoma darasa la
kwanza na Mudi wa darasa la sita baada ya kuwatuhumu kuwa, waliiba
shilingi 10,000.

Wakizungumza na mwandishi wetu wakiwa katika
sura ya huzuni, watoto hao walisema baba huyo aliwatendea unyama huo
Januari 3, mwaka huu ambapo walijitetea kuwa walichukua ‘teni’ hiyo kwa ajili ya kununulia msosi baada ya mama yao kushindwa kuwaandalia chakula.


Hata
hivyo, Mudi alisema siku ya tukio mdogo wake (Baraka) aliingia
chumbani kwa baba yao na kuchukua kiasi hicho cha fedha kisha
wakashirikiana katika matumizi ambapo walinunua bagia na vitumbuia ili
wajipoze kwa njaa.

Wakizungumzia kuhusu baba yao mzazi (jina
tunalo), walisema aliwaacha mkoani hapa kwa muda mrefu na sasa anaishi
jijini Dar es Salaam hivyo wao wamebaki na baba mdogo huyo ambaye mara
kwa mara amekuwa akiwaadhibu vikali na kuwanyima chakula.


Kwa
masikitiko makubwa, walisema baada ya baba yao kurudi kutoka kwenye
shughuli zake na kubaini katika akiba yake teni haipo ndipo
alipowakamata na kuwafunga kamba na kuanza kuwatesa kwa kichapo ili
waseme mtu aliyekwapua pesa hiyo.

“Alitufunga kamba miguuni na
mikononi na kuanza kututesa kwa kutupiga. Alipoona hatusemi, akachukua
manailoni na kutufunga miguuni kisha akachukua kiberiti na mafuta ya taa
na kuwasha moto miguuni kwetu.

“Tulilia
sana, akaendelea kutupiga na moto ukiwaka. Wakati huo mama alikuwa
amekaa mlangoni akishangilia na kusema wapige sana mimi nimewachoka hao
watoto, heri wafe tu,” walisema watoto hao.

Imedaiwa kuwa baada
ya kutekeleza unyama huo, baba huyo aliwafungia ndani watoto hao na
kuwaambia wasitoke nje ndipo majirani walioshuhudia tukio hilo walipotoa
taarifa polisi katika kitengo cha dawati la jinsia wakalivalia njuga
swala hilo.

Mkuu wa Dawati la Jinsia Mkoa wa Iringa, Atupele
Mwambunda alizungumza na mwandishi wetu na kusema wamefanikiwa kumkamata
mama wa watoto hao, Watende Sanga huku mumewe, Mdetele aliyekimbia
akitafutwa kwa udi na uvumba ili kufikishwa kwenye mikono ya sheria.

Akiwa
katika ofisi za dawati la jinsia, mama wa watoto hao alidai wakati
baba yao mdogo akiwapa mbata watoto hao yeye hakujua kinachoendelea
japokuwa alipata taarifa ya kupotea kwa pesa.

Aliendelea kusema
kuwa, baada ya tukio hilo aliwanunulia dawa watoto hao ili kuwatibu
kinyemela pamoja na kuwaombea ruhusa shuleni.
Mwanamke huyo aliomba
kusamehewa kwa vile hakujua kama kushangilia wakati baba yao akiwapa
adhabu watoto hao ni kosa. Anaendelea kushikiliwa na polisi mkoani hapa.

KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

DIAMOND NOMA SANA...CHEKI PICHA ZAIDI YA 10 AKIWA KATIKA INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA



DIAMOND NOMA SANA...CHEKI PICHA ZAIDI YA 10 AKIWA KATIKA INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA




























Leo ikiwa ni siku ya pili,tukiwa nchini kenya,ratiba yangu ilianzia







hotelini kwenye gym kujiweka fit na baada ya hapo







mchana nilihitajika na media





mbali mbali za hapa kwa ajili ya kufanya 







mahojiano,nilianza na kipindi cha Mambo mseto










 cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye















 alitaka kufaham mipango yangu kimziki


,next collabos,collabo na wanamzik wa Kenya











 na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live








na wasikilizaji  wa  Mambo mseto 








na wapenzi wa mziki wangu,...
















Safari ikaanzia Hotelin












Baada ya kuwasili




























Nikifafanua kuhusu swala la collabo 








nilizofanya na ninazotalajia kuzifanya




























Baadhi ya watangazaji wa Citizen




















Picha ya pamoja na Mzazi will Tuva
























Picha ya pamoja na watangazaji wengine wa Citizen















Mariam Ismail afunguka kuhusu madai ya kusagana na Irene Uwoya



Mariam Ismail afunguka kuhusu madai ya kusagana na Irene Uwoya








Mastaa wa filamu nchini Mariam Ismail na Irene Uwoya wanadaiwa kuwa na
uhusiano wa kimapenzi(usagaji) na kudaiwa kuishi pamoja . Wiki
kadhaa nyuma muigizaji mmoja chipukizi anayekuja juu kwa kasi aliutonya
mtandao wa Swahiliworld  kuwa Mastaa  hao  wajihusisha  na  penzi  la  jinsia  moja.




"Mariam Ismail na Uwoya wanasagana tena wanaishi
pamoja kabisa, fuatilieni mtajua".




 Baada ya habari hizo ilibidi 
kuwatafuta mastaa hao,wa kwanza kutafutwa akiwa Irene Uwoya lakini
namba yake ya simu kwa takribani wiki 2 ilikuwa haipatikani na hata jana
alipotumiwa ujumbe kupitia namba yake nyingine hakujibu.





Baada ya hapo ilibidi kumtafuta Mariam Ismail ambaye wamecheza filamu
nyingi na Irene Uwoya kama vile Sobbing Sound, Omega Confusion, The
Return Of Omega na Apple.




Hata hivyo Mariam anayefanya vizuri katika
filamu alionekana kuwa busy na kuchelewa kujibu ujumbe wa madai ya
kusagana na Uwoya lakini jana star huyo aliyejipatia umaarufu kwa kuuvaa
vizuri uhusika katika filamu zake alitoa ushirikiano mzuri kwa kujibu
madai hayo akidai sio kweli ila yeye na Uwoya ni marafiki wa karibu sana
na wanasaidiana katika shida na raha ndiyo maana baadhi ya watu
wameshaanza kusema vibaya...


 


"Nadhani mimi ndio mtu wa kwanza
kupiga vita ujinga kama huo. Mimi ni mwanamke ambaye nimeumbwa
kikamilifu,sina kasoro yoyote ya kunifanya niwe na mwanamke
mwenzangu....




"Hao wanaofanya ujinga huo nadhani wana vijikasoro kwenye
mili yao.Irene Uwoya ni rafiki yangu sana tena urafiki wetu sio wa
leo wala kesho... 




"Ni marafiki wa kushibana kabisa, nikoseapo huwa
ananikosoa na yeye akoseapo huwa namkosoa.Sometimes huwa tunagombana na
kupatana vitu ambavyo ni vya kawaida katika maisha." alisema Mariam ambaye hajawahi kukumbwa na skendo yoyote ile kabla ya  hii.



 


Mariam ambaye kipaji chake cha filamu hujionyesha waziwazi alimalizia kwa kusema:



 "Irene ananiheshimu
sana na mimi humuheshimu sana Irene, imefikia hatua ya mimi na yeye tukakaa
chini na kupanga tuishi wote
kitu ambacho sioni tatizo na hilo. 


 

"Ingekua
ni chumba kimoja hapo sawa, lakini ni nyumba kubwa yenye
kujitosheleza, kila mtu na room yake... Tunaishi kwa amani na kwa
kushirikiana. penye tatizo hulitatua wenyewe bila kumshirikisha mtu. 




" Ukimya wetu na kupatana kwetu kusiwafanye watu kuanza kuhisi ujinga
juu yetu... Natumai ujumbe wangu utawafikia mashabiki wangu wote.
Asante. In god I trust."




>>Swahiliworld.


WASTARA ASHINDWA KUVUMILIA , AWEKA PICHA AKIWA AMEKUMBATIWA NA MWANAUME NA KUANDIKA MANENO HAYA!

WASTARA ASHINDWA KUVUMILIA , AWEKA PICHA AKIWA AMEKUMBATIWA NA MWANAUME NA KUANDIKA MANENO HAYA!

Leo majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku
akiwa amekumbatiwa na mwanaume na kusema kuwa “nimemisi kumbatio la
huba” kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza je
huyu ndiye mume mtarajiwa wa Wastara au la. tunatafuta ukweli
wa swala hili kisha tutalifikisha kwenu wadau wa Tovuti yetu....









MWANAMAMA WA MIAKA 48 ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA YA KUFANYA NGONO NA WATOTO WA UMRI KATI YA MIAKA 9 -14 KWA ZAMU,, SOMA ZAIDI MKASA HUU

MWANAMAMA
WA MIAKA 48 ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA YA KUFANYA NGONO NA WATOTO
WA UMRI KATI YA MIAKA 9 -14 KWA ZAMU,, SOMA ZAIDI MKASA HUU























Mwanamke
 mmoja aliyefahamika kwa jina la Aretas Joseph, (48), mkazi wa kijiji
cha Lesoroma tarafa ya Useri, wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,
amehojiwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto
wadogo wa kiume, wenye umri kati ya miaka 9 na miaka 14, jambo
linaloelezwa kuwa ni shambulizi la aibu.


Akidhibitisha
taarifa hiyo, kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro Robert Boaz, alisema
mwanamke huyo alikamatwa Januari 8, kufuatia ushirikiano ulioonyeshwa
na majirani zake baada ya kupata taarifa ya tabia yake hiyo ambayo
inaelezwa amekuwa akiifanya kwa muda mrefu.

“Kufuatia
taarifa walizokuwa nazo majirani hao, waliweka mtego
hadi walipofanikiwa kumkuta chumbani kwake akiwa na watoto watatu wa
kiume akifanya nao mapenzi,” alisema.


Kwa
mujibu wa kamanda Boaz, zilikuwepo tetesi mtaani kuwa, mama
huyo hufanya mapenzi na watoto wadogo, ndipo siku hiyo ya tukio
majirani hao waliamua kuingia ndani kwake ili kujua ukweli wa tabia yake
hiyo na kumkuta chumbani kwake akifanya mapenzi na watoto watatu.



Alisema
mara baada ya majirani hao kumvizia na kumfuma mama huyo, walitoa
taarifa polisi na mama huyo kukamatwa na kufikishwa katika kituo cha
polisi cha Rombo.



Kulingana
na taarifa ya kamanda huyo wa Polisi, watoto hao baada ya kuojiwa
walisema kuwa wapo Wanne na siku hiyo mwenzao hakuwepo na kwamba mama
huyo amekuwa akiwachezea sehemu zao za siri huku akiwapaka mafuta katika
sehemu zao hizo.



Aidha
watoto hao walidai kuwa mara baada ya kuwachezea sehemu zao za siri,
huwa anawashawishi kufanya nao mapenzi kwa zamu huku wengine wakiendelea
kumshikashika sehemu mbalimbali za mwili wake yakiwemo matiti yake.



“Watoto
hao walidai kuwa, mara baada ya mama huyo kuwachezea, humtaka mmoja wao
kufanya nae mapenzi na hao wengine kumshikashika sehemu mbalimbali za
mwili wake na kwenye maziwa,na baada ya kutimiza haja zake, huwataka
kuondoka mara moja”alisema.



Kamanda
Boaz aliendelea kusema kuwa uchunguzi wa awali wa polisi unaonyesha ya
kuwa mwanamke huyo amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana
mmoja aliekuwa amemaliza darasa la saba miaka mitano iliyopita na
kujaliwa kuzaa nae mtoto mmoja.



Hata
hivyo kamanda huyo alisema kuwa baada ya idara ya utswi wa jamii,kupata
taarifa ya mahusiano hayo, idara hiyo ililifuatilia suala hilo, na
hatimae kukatisha mahusiano yao hayo.


via gazeti la MAJIRA :


PICHA: ONA MAPOZI YA HATARI YA LADY GAGA WA BONGO,,,, FULL KUJIACHIA !



PICHA: ONA MAPOZI YA HATARI YA LADY GAGA WA BONGO,,,, FULL KUJIACHIA !









Mmmmmh wacha wee! Lady gaga Huyo
. 

Me Simoooooooo



Wacha Kufuru we Mswazi!!

Karibuni kwangu






Mambo yako huku wewe

Joh Makini, Nikki Wa II & Gnako - NJE YA BOX (Official Video)

UJUMBE AMBAO NITASHEA NA WASICHANA NA WANAWAKE WENZANGU MWAKA HUU KATIKA SIKU YANGU YA KUZALIWA





UJUMBE AMBAO NITASHEA NA WASICHANA NA WANAWAKE WENZANGU MWAKA HUU KATIKA SIKU YANGU YA KUZALIWA


Tarehe 27 January nitakuwa nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa.

Mwaka huu nimeamua nitumie sauti yangu ambayo Mungu amenibariki kushare
na Wasichana na wanawake wenzangu kokote pale duniani ujumbe huu
'Tunaweza' ambao wimbo wake utatoka rasmi siku hiyo tarehe 27.


Chorus;
Wanawake Tunaweza, Wasichana Tunaweza
Tunaweza, Tunaweza X2
Kwa pamoja Tunaweza.

VERSE I.
Fanya kazi yako ya mikono,Kwa moyo
Wala hutakosa kupata mapato.
Amka kabla haujaisha usiku
Amka kabla haujaisha usiku
Upendeleo usikundanye
Pia uzuri usikuhadae
Angalia Shamba ukalime
Biashara pia ukafanye

VERSE II.

Kwa mapato yako yote jipatie ufahamu kokote
Mkamate sana elimu usimwache aende zake
Hiyo ni silaha yakooo
Ona madaktari wanawake
Nasema Ona marubani wanawake
Ona viongozi,maraisi wanawake.
Chorus.

Jipambe kwa mavazi ya kujisitiri
Pamoja na adabu nzuri
Na moyo wa kiasi
Utaweza kuwa yeyote
Utaweza kufanya chochote
Unaweza,Utaweza
--------end----------
Mtunzi:Anna Peter
Msanii:Anna Peter ft Hellen
Mtayarishaji:Mr T Touch
Studio:Seductive Rec

PICHA HIZI ZA MARTINI KADINDA NA JACK CLIFF ZIMEZUA UTATA MIDOMONI MWA WATU..!! ZITAZAME HAPA





PICHA HIZI ZA MARTINI KADINDA NA JACK CLIFF ZIMEZUA UTATA MIDOMONI MWA WATU..!! ZITAZAME HAPA
















Mbunifu wa mavazi  Martin Kadinda akiwa pamoja na Jack patrick wakila
bata katika moja ya hotel za kifahari,imeonyesha kuwa Jack na Martin
kuwa wapo karibusana na furaha baada ya mwana dada huyo kupitia majanga
kibao....hivyo sio siri tenauwepo wa furaha kati ya jack na martin ...















TOA MAONI YAKO HAPA CHINI