Friday, 24 January 2014

DIAMOND NOMA SANA...CHEKI PICHA ZAIDI YA 10 AKIWA KATIKA INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA



DIAMOND NOMA SANA...CHEKI PICHA ZAIDI YA 10 AKIWA KATIKA INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA




























Leo ikiwa ni siku ya pili,tukiwa nchini kenya,ratiba yangu ilianzia







hotelini kwenye gym kujiweka fit na baada ya hapo







mchana nilihitajika na media





mbali mbali za hapa kwa ajili ya kufanya 







mahojiano,nilianza na kipindi cha Mambo mseto










 cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye















 alitaka kufaham mipango yangu kimziki


,next collabos,collabo na wanamzik wa Kenya











 na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live








na wasikilizaji  wa  Mambo mseto 








na wapenzi wa mziki wangu,...
















Safari ikaanzia Hotelin












Baada ya kuwasili




























Nikifafanua kuhusu swala la collabo 








nilizofanya na ninazotalajia kuzifanya




























Baadhi ya watangazaji wa Citizen




















Picha ya pamoja na Mzazi will Tuva
























Picha ya pamoja na watangazaji wengine wa Citizen















No comments:

Post a Comment