Sunday, 27 July 2014

NIMEWAAMBUKIZA UKIMWI MAELFU YA WATU HAPA JIJINI.... BOFYA HAPA




Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.

Nilizaliwa mkoa wa Dodoma na nilishi vizuri tu tangu utotoni na hata 
 sikujihusisha na ngono hadi nilipomaliza form 4 mwaka 2006 baada ya kumaliza nilikuja hapa Dar kuishi kwa mama mdogo aliyeolewa hapa Mwenge.

 
Nilipata marafiki wengi tu na kuna kijana mmoja alinitongoza kwa muda mrefu sana na siunajua vijana wengi hutumia muda mrefu kutongoza ili msichana unadhani kwamba labda huyo anakupenda kumbe anataka tu ngono na wadada wengi sana hudhani kufuatiliwa kwa muda mrefu na mvulana basi huyo yuko serious kumbe hakuna lolote.

 
Nilimkubalia tukawa wapenzi ila nilikataa kuhusu kufanya mapenzi maana anayekupenda kiukweli sio uongo lazima asitake ngono kabla ya ndoa.

Kwa miezi kama 5 hadi 6 aliniambia kuhusu kufanya mapenzi nilikataa alitumia mbinu nyingi sana kwa kunibembeleza na hata kulia mbele yangu ili tufanye tu mara moja ila nilikataa, alisema atavumilia hadi siku ya ndoa yetu ambapo tulipanga kuoana mwaka sept 2009.

 
Siku moja aliniambia twende kwenye kumbi za starehe na mimi kwa sababu ya upagani na kumwamini pia kwa sababu nampenda nilikubali tulienda huko na kulikua na bendi fulani maarufu ya mziki wa dansi ilikua inatumbuiza.

Tulitafuta sehemu na kukaa na mpenzi wangu akaagiza pombe alianza kunywa huku akinionjesha, nilikataa kwa sababu nilikua sijawahi kunywa pombe katika maisha yangu yote, hata sijui alinishawishi vipi nilijikuta nakunywa kidogo kidogo na kwa kuwa tulikaa pale kwa muda zaidi ya masaa 5 nadhani nikunywa kama bia 3 au 4 japokua nilikua nakunywa kidogo kidogo tu tena kwa kunywesha na mpenzi wangu maana nikama nikua nanyweshwa kila baada kama ya dakika 25 ndipo nakunywa mara moja na sikujuia kama nakunywa pombe ila niliihisi tu naonja ili kumlizisha mpenzi wangu.

 
Ilipofika saa 10 alfajiri nilihisi usingizi na pia nilijiona wa tofauti najua nililewa hata kama sikujua kama nimelewa maana nakumbuka tulitoka pale huku amenishika mkono huyo mpenzi wangu. Tulikodo tax na kuondoka na siku hiyo aliniambia twende kwake alikokua amepanga chumba maana tulikua na usingizi sana nilikubali huku nikidhani hatuwezi kufanya mapenzi.

Tulifika salama na kuingia ndani ukweli pombe ni kichocheo cha ngono na ningekua mimi ndio Raisi wa Tanzania ningefunga bar zote. Nilijikuta natamani kufanya mapenzi na huyu mpenzi wangu hata alikua hana nia maana alijua atanichukiza sana na uhusiano ungekufa siku hiyo lakini kwa sababu ya pombe nilimwambia siku hiyo tufanye kidogo maana mwili wangu unataka.

Ni kweli siku hiyo kwa sababu ya pombe nilifanya mapenzi na huyo mpenzi wangu na baadae akanipeleka nyumbani baada ya wiki mbili maana tulikaa wiki mbili bila kuonana alikuja na kunieleza habari ambayo sikuihitaji katika maisha yangu maana nilikua nasikia tu kwa watu wengine lakini sio kwangu alisema ”JANE ISHI KWA MATUMAINI KUANZIA SASA”

 
Nilidhani utani lakini aliniambia kuwa yeye ana UKIMWI tangu miaka mitano iliyopita na anapenda tu ngono maana hawezi kuacha.

Nililia sana na baada ya wiki moja baadae nikaenda kupima na kukutwa nina ugojwa ambao niliusikia tu kwa watu na chanzo cha yote ni pombe, kupenda starehe,disko na upagani unaotusumbua wanadamu wengi.

Nilikua na UKIMWI na kwa hasira maana mpenzi wangu alihamia Arusha huku akisema neno moja la mwisho kwamba ”shetani amemtuma kuwaambukiza wanadamu UKIMWI”

Sikujua, sikujua, sikujua, sikujuaaaaaaaaa, basi tu ooh YESU nihurumie mimi leo.Nilibebeshwa mzigo ambao haukunistahili mimi. Hata leo hua najiuliza kwamba nilijitunza kwa miaka 23 yote lakini pombe na huyu wakala wa shetani wamenifanyia hivi. Baada ya kujua nina UKIMWI na hali hiyo nikaikubali na kulikua na kundi kubwa sana la wanaume ambao walikua wamewahi kunitongoja na niliwakataa sana kwa sababu hii niliwakubali ili nami nife na wengi.

 
Nilianza kumkubali kila mmoja na kuna baba mmoja ambaye ana wake 3 niliwahi kumtukana sana kipindi cha nyuma kila aliponitongoza lakini wakati huu nilimkubali na hakuamini na tukafanya ngono tena bila kinga na akaniaachia pesa laki 6 kama zawadi ya kumkubali kumbe naye hakujua kuwa namwambukiza na hata leo hua nawahurumia tu wale wake zake ambao wana UKIMWI uliotoka kwangu.

Kiukweli tangu may 2009 hadi 2012 nimeshatembea na wanaume zaidi 1500 maana ilifika kipindi nala na wanaume 3 kwa siku na lengo langu niwakomeshe kama mimi nilivyokomeshwa na nina uhakika kutokana na mimi wameambukizwa UKIMWI wanadamu zaidi ya 10,000 na hili tangazo la ”TUKO WANGAPI” huwa linaniliza kila siku maana hata mimi najua kabisa nilianzisha mtandao kama huo wa ngono kwa idadi kubwa sana ya watu.

 
Nimeokoka miezi 7 iliyopita na siku naombewa nilikutwa na mapepo mengi sana na hata waombeaji wakashangaa. Ningejua ningeokoka tangu nikiwa na miaka 5 lakini ndio hivyo sina jinsi wala uwezo wa kubadirisha hali hiyo.

Na naomba kila atakayesoma ujumbe huu ajue kuanzia leo kuwa pombe ni dhambi pia kwenda disko ni dhambi,kuuza pombe ni dhambi na kila kichochoe chochote cha dhambi ni dhambi. Hadi sasa mtu yeyote hawezi kujua kama nina UKIMWI na sijui MUNGU ana mpango gani na mimi maana kwake yote yanawezekana. Nauamini uponyaji wake na sijawahi kutumia ARV hata siku moja na afya yangu iko sawa tu na huwezi hata wewe kujua kama uovu huu nimefanya mimi.

Ndugu zangu kama una UKIMWI nenda kanisani ukaombewe na kama una akili mpe YESU maisha yako maana pia baada ya kifo ni hukumu. Yasalimishe maisha yako kwa YESU na usiambukize wengine tena.

Mimi tangu niokoke sijawahi kufanya mapenzi tena na sitafanya hivyo wala sitaolewa na mtu yeyote maana yatosha kwa uovu niliofanya na hadi sasa wapo ninaowajua zaidi ya 15 wameshafariki na nilihudhulia misibani huku nikijua kabisa chanzo ni mimi.

Mwisho nawashauli wababa kulidhika na wake zao na wamama pia lidhikeni na waume zenu, vijana ambao hamjaoa wala kuolewa subiri hadi utakapooa au kuolewa na kabla ya kuolewa au kuoa kapimeni kwanza kwani wenye UKIMWI ni wengi kuliko unavyozani.

Fuata unachofundishwa kanisani na pia soma BIBLIA na uwe mtakatifu.

MUNGU akubariki

Ni mimi Jane,
Mwenge, Dar es salaam
Tanzania

LAANA HIZI JAMANI: WASAGANA LIVE... JE WAMEKOSA WANAUME AU..?




From the look of these photos, these ladies have a long way to go in terms of morality. Actually, they know nothing like good morals or behaving themselves!! Just have a look at the photos.









KAMA ULIKUWA HUMJUI HUYU NDIYE MMILIKI WA FACEBOOK NA MABO YAKE 10 SERIOUS


mark

1.Ana umri wa miaka 30 tu, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu! Mark ndiye anaeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa bilionea mdogo zaidi aliyoiweka akiwa na miaka 23 tu! 
2. Mark Haamini kabisa kuwa kuna Mungu
 
3. Hajawahi kumiliki TV! Maisha yake amekuwa akitumia computer tu
 
4. Ana Matatizo ya kutambua baadhi ya rangi, rangi yake kuu anayoipenda ni bluu na ndio sababu facebook imetawaliwa na rangi hiyo!
 
5 Mara kadhaa amepigiwa kura kuwa mtu maarufu anaevaa vibaya zaidi! Mara nyingi huvaa t-shirt na jeans au kaptura na sandals. wengi huona kama hajijali



6.Unaweza kumblock mtu yeyote facebook kasoro yeye tu! Ingia kwenye ukurasa wake http://www.facebook.com/zuck na ujaribu uone! 
7.Mwaka 2009 Mark alivaa tai kwa mwaka mzima kuonyesha ni jinsi gani mwaka huo ulikuwa 8 serious. Baada ya hapo mark huonekana mara chache sana akiwa amevaa tai na Suti.
 
8.Akiwa na miaka 13 tu mark alitengeneza mtandao ndani ya nyumba yao uliokuwa ukiziwezesha kompyuta kutumiana meseji ndani ya nyumba yao!
 
9. Licha ya Twitter kuwa Mshindani namba moja wa facebook, Mark ni mtumiaji wa mtandao huo pia! Ana akaunti twitter akiwa na wafuasi
 
10. Mwaka 2011 aliamua kutokula nyama yeyote mpaka awe amechinja mwenyewe! Ni utamaduni wake kujiwekea challenge moja kila mwaka!


>BOFYA HAPA UONE NYUMBA ANAYOISHI<

Risper Faith shows off her Bikini Body…#Nisheedah





From hare INSTAGRAM page.Kenyan Socialite shares this photos



CHEKI HII FASHION MPYA YA NYWELE ZA LULU...KAPENDEZA BALAAA..UTAFIKIRI MDOLI VILE




Nahofia Kuachwa Jamani, Nipo katika Mahusiano kwa miaka 6 , lakini sioni dalili za kuolewa










Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa
kimapenzi na kijana mmoja  kwa muda wa miaka sita sasa.




Isitoshe sisi ni
majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda
unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa.




 Naombeni  ushauri  jamani



Mary



AJALI: DALADALA YAUVAMIA MTI IRINGA



Hii ni daladala inayofanya safari zake kati ya stendi kuu ya manispaa ya Iringa na Nduli mkoani Iringa. Gari hili liliacha njia na kugonga mti maeneo ya Posta mkoani Iringa. Kwa bahati nzuri ni kuwa gari hilo halikuwa na abiria na lilikuwa likielekea stendi kuu ili lipakie abiria wa kwenda Nduli

NSSF YAFUTURISHA WASTAAFU WAKE MKOA WA TANGA


Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (kulia), akishiriki katika futari iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya wastaafu wa Mkoa wa Tanga pamoja na wadau wake. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu na Kaimu Mkurugenzi wa NSSF, Chiku Matesa.

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limejipanga kuhakikisha linaboresha mfuko huo kwa kuwafikia wakulima na wafugaji nchini kote ili kupanua wigo kwa wanachama wake.

Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa, wakati akizungumza katika hafla ya kufuturisha wastaafu (PENSHENI) pamoja na wadau wa mfuko huo iliyofanyika katika hotel ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.

Alisema kuwa  wakulima na wafugaji wamekuwa wakisaulika hivyo kama shirika limeona vema kuwafikia ikiwemo kuwapatia elimu ambayo itawasaidia kujiunga na mfuko huo.

‘Sisi  kama shirika tumeona itakuwa ni vizuri zaidi kuwafikia wakulima na wafugaji ili kuweza kujiunga na mfuko wetu ambao unamafao uzazi, kuumia kazini, Kustaafu na mengineyo'.

Kaimu Mkurugenzi huyo alisema shirika limeanzisha mpango wa kutoa mikopo kwa wanachama wake kupitia Saccos ambapo utalenga kuwawezesha wanachama wa mfuko  huo kujikwamua kiuchumi.

Naye  Mkuu wa Wilaya Tanga Halima Dendego aliwataka  wafanyakazi waliojiajiri na walioajiriwa ikiwemo wa mashambani kujiunga na mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF ili kuweza kujiwekea akiba hasa ya uzeeni.


“Nawaasa hawa wafanyakazi wajiunge na mfuko huu kwani unafaida kubwa hasa unapostaafu unakuwa na uhakika wa kuishi maisha bora yasiokuwa na wasiwasi’’alisema Dendego. 

Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akigawa zawadi kwa wastaafu wa NSSF wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na shirika hilo. 
Kaimu Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Tanga, Emmanuel Masika akizungumza wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa kwa ajili ya wastaafu wa Mkoa wa Tanga.
Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wastaafu wa NSSF Mkoa wa Tanga wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kufuturisha wastaafu hao iliyoandaliwa na NSSF.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu akizungumza katika hafla hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akizungumza wakati wa hafla ya kufuturisha wastaafu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), iliyofanyika mkoani Tanga.
Meneja wa Mafao wa NSSF, James Oigo akijibu maswali ya baadhi ya wastaafu waliotaka ufafanuzi kuhusu huduma mbalimbali za shirika hilo. 
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Maryam Muhaji hafla ya kufuturisha wastaafu iliyofanyika Mkoa wa Tanga. 
Baadhi ya wastaafu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (katikati).
Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (katikati), wa pili kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Alhaji Juma Luwuchu, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa (wa  tatu kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Maryam Muhaji.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu, (kushoto)  akishiriki futari.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (wa tatu kushoto), akishiriki katika futari iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya wastaafu wa Mkoa wa Tanga pamoja na wadau wake. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu na wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa NSSF, Chiku Matesa.
Wastaafu na wadau wa NSSF Mkoani Tanga wakijumuika katika futari.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa akiwashukuru Wastaafu na Wadau waliohudhulia futari iliyoandaliwaa na mfuko huo.
Watoto wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Barabara ya 7 Mkoani Tanga wakiwa ni miongoni mwa wageni waalikwa katika futari iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya Wastaafu na Wadau wa Mfuko huo iliofanyika mkoani Tanga.

Saturday, 26 July 2014

USIKARIRI MAPENZI~SEHEMU INAYOAMSHA NYEGE KULIKO ZOTE KWA MWANAMKE SOMA HAPA UWE MJANJA

 



Katika mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.

Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa juu.Sehemu hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa.

Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume,badala yake njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo mwanaume unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu.

Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia mwanamke kama ana ruka kidogo kwa juu na hapo hapoutamwona akilegeza macho na lazima usikie akifanya assshhhhhhhhhhh kutokana na hisia za utamu wa aina yake anaoupata mtu huyu.

Ukishapatia kugusa sehemu hii unatakiwa uwe unanyoosha na kukunja kidole hicho cha kati ili kuweza kusugua sugua sehemu hiyo adimu katika uke wa mwanamke. Kitendo hiki cha kukunja na kunyoosha kidole hufanana na ishara ya mtu anapomwita mwenzie aliye mbali kwa kutumia mkono.


Kadiri unavyomgusagusa mwanamke eneo hili,ndivyo sehemu hii hubadilika na kuanza kuwa ngumu kidogo na kila utakavyokuwa unaendelea ndivyo utakavyokuwa unamwongezea mpenzi wako kilio cha utamu..! Chezea G SPOT weweeee.

 

michepuko noma: Hussein Machozi akamatwa akingonoka na mke wa mwanasiasa maarufu Mombasa!..APEWA MASAA 24 KURUDI BONGO!!



Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.

machozi-2
Habari za kukamatwa akiwa na mwanamke huyo zimeenea kwa kasi nchini humo. Gazeti la The Star limedai kuwa Hussein alikuwa na uhusiano wa siri na wa muda mrefu na mwanamke huyo na mume wake alikuwa ameshtuka tayari na hivyo kuwawekea mtego. 

Limedai kuwa wawili hao walikuwa wanachepuka kiasi cha kupanga kununua nyumba ya pamoja. Vyanzo vilivyoongea na gazeti hilo vimedai kuwa mwanasiasa huyo huwa husafiri mara nyingi na hivyo kumpa upenyo mke wake kusaliti ndoa yake.

Blog moja ya Mombasa imeandika:
Msanii Hussein Machozi Apokea Kichapo Cha Mbwa Na Kupewa Masaa 24 Kuondoka Hapa Nchini Kenya
Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu. Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa.

Hii ni habari nzima ya gazeti la The Star:
Tanzania bongo artiste Hussein Machozi was caught pants down with the wife of a prominent Mombasa businessmen and beaten thoroughly. Hussein who is nursing injuries was at the coast to shoot a music video when he hooked up with the said wife.
According to multiple sources who requested anonymity, the singer has been in an alleged long standing secret affair with the married woman and they were planning on buying a house together.
To keep the affair alive, the two love birds shuffled between Dar es Salaam and Mombasa.

Our source told Word Is, “The married woman’s husband is a very busy man. His time is occupied by his numerous business ventures and politics. He started suspecting the wife is stepping out on him when he found funny texts on his wife’s WhatsApp. He then laid a trap for the two of them.”
The Tanzanian heartthrob fell into the trap and was caught with his hands in the cookie jar. Security teams on the ground tried to contain the fiasco as the husband of the wife rained blows on the star.
His closest friend Stephen Yaa famously known as Notystee – a Mombasa based promoter – was with the Hussein when he arrived in in Mombasa on Wednesday. Notystee confirmed to Word Is that the incident did happen and that the bongo act called him up saying that he was in trouble.
“I was shocked when I received a call from Hussein saying that he was in trouble. He had earlier told me that he was going to meet a certain lady whom he was in love with, but I didn’t knew what was going to happen,” Notystee said.
Commenting on the altercation, Hussein told Word Is, “I will get back (to Mombasa) when am well. I’m in great pain. I never knew that the lady belonged to a powerful man at the coast.” The star famed for singles like Kafia Ghetto and Addicted is currently hiding at one of the houses belonging to a prominent Tanzanian tycoon who lives in Nyali.

WAZIRI WA FEDHA, ATINGA BANDARINI DAR GHAFLA




Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, ametinga ghafla bandarini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya wafanyabiashara kuanzisha tafrani ya kudai kucheleweshewa huduma.
Waziri Mkuya alipofika bandarini hapo alikwenda hadi Mapato Hause baada ya  mawakala kuona kuwa wanacheleweshewa kupata huduma muhimu ambapo waliamua kulalamika kwake.
Alipofika Mapato Hause, Waziri Mkuya alilalamikiwa kuwa mtandao mpya unaotumiwa unaojulikana kwa jina la TSS ni mbaya na unachelewesha kazi.  “Mtandao huu unalalamikiwa hata na TRA, unasababisha tunapoteza muda mrefu hapa Mapato House,” walisema baadhi ya wafanyabiashara kwa nyakati tofauti.
Wafanyabiashara hao walimuambia Waziri Mkuya kuwa ni vyema serikali ikaurudisha mtandao wa zamani unaojulikama kwa jina la Escudo ambao ulikuwa hauna matatizo kama hayo wanayoyashuhudia sasa.

Cha ajabu ni kwamba wakati waziri anawasili eneo hilo, Kamishna  wa Forodha aliyejulikana kwa jina la T. Masamaki alikuwa hayupo, hali iliyowashangaza mawakala wengi waliokuwa wamemzunguka waziri.

MUHIMU:JE UMEWAHI KUFIKA KILELENI? ZIFAHAMU NJIA NA AINA TOFAUTI ZA KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE (KNOW TYPES OF FEMALE ORGASMS)



Wanawake wengi wanapeana Raha na Utamu kila siku,lakini ni wanawake wachache sana wanaopata nafasi ya kufika kileleni.Kuna wengine wanapata Raha ambazo sio za kawaida,lakini wanakuwa hawana uhakika kama Raha waliyopata ndio kufika kileleni au ni sehemu tu ya Raha anayopata Mwanamke wakati wa kupeana Raha na Utamu.Na mie Romantic Lovemaker kama kawaida yangu,nikiwa na knowledge,kazi yangu ni kushare na wote,Ukitaka kujifunza,usisome kama Love Story,usisome kama Gazeti,bali Soma kama Notes,weka kichwani vipengele vyote muhimu,kisha nenda kajaribu na Mkeo au Mpenzi wako ili Ndoa au Penzi lenu lizidi kusonga mbele,mzidi kupendana tena sana,

Leo nitaelezea aina na njia za kufika kileleni(orgasm) kwa mwanamke,na pia nitaelekeza jinsi ya kufanya ili iwe rahisi kwa kila mtu kwenda kujaribu mwenyewe,so lets get this orgasm party Started,


1.KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA KISIMI (THE CLITORAL ORGASM)
Kufika kileleni(orgasm) kwa njia ya kisimi(clitoris),ni pale Hisia za Raha ambazo ni zaidi ya kawaida,zinaanzia kwenye kisimi,zinatengeneza mawimbi(waves) ya Utamu na kuyasambaza mwili mzima hadi kwenye ubongo.

Kwenye Uke(vagina) wa mwanamke,kuna Sehemu kama nne ambazo zimejaa nerves zinazosababisha mwanamke Apate Raha tena sana wakati wa kupeana Raha na Utamu,na mojawapo kati ya hizo sehemu nne ni kisimi(clitoris).

Ingawa ni kweli kisimi ndio kimejaa Raha na Utamu tena sana,lakini wanawake wanatofautiana linapokuja swala zima la kumsisimua(kumstimulate) mwanamke kupitia kisimi chake.Wengine inabidi utumie nguvu kidogo,wengine kawaida na wengine taratibu kutegemeana na usensitive wa visimi vyao(haijalishi kama unatumia kidole au ulimi).

JINSI YA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI(ORGASM) KWA KUTUMIA NJIA YA KISIMI(CLITORAL ORGASM)
Ziko Njia Mbili,
Njia ya Kwanza ni kwa kutumia KIDOLE(finger),follow steps zifuatazo;


  • Hakikisha(make sure) vidole vyako ni visafi na kucha zako fupi sana.
  • Kabla hujaanza kumsisimua(kumstimulate) kisimi chake,hakikisha umeshatumia zaidi ya dakika 10 kumsisimua maeneo mengine ya mwili wake kama vile matiti(boobs),lips,mapaja,makalio n.k(inatakiwa uke wake uwe umeloa(wet) kabla hata hujaanza kusisimua kisimi chake)
  • Tumia majimaji ya uke wake kukilowanisha kidole chako(kama bado yupo dry na ushawaste zaidi ya 10 minutes kwenye foreplay basi tumia lubrication nyingine yenye asili ya majimaji,ukido tofauti na hapo utaishia kumuumiza badala ya kumpa Raha)
  • Anza kusugua kisimi chake taratibu huku ukiangalia kwa makini jinsi anavyorespond to it
  • baada ya dakika 1 ongeza speed kidogo kisha observe jinsi anavyorespond to it
  • Usiongeze na kupunguza speed mara kwa mara unaweza ukampotezea mood(ataishia kusikia Raha na Utamu lakini hatofika kileleni)
  • Important-Sugua katika mpangilio au direction inayoeleweka kwa zaidi ya dakika 5 bila kubadilisha ili asipoteze mood katikati ya safari yake ya kufika kileleni(kama ulikuwa unasugua in circles(kwa kutengeneza duara) basi fanya hivyo mpaka 5 minutes ziishe,kama ulikuwa unasugua kutoka juu ya kisimi kwenda chini,au chini kwenda juu,basi fanya hivyo mpaka dakika 5 ziishe ndio ubadilishe)
  • Uvumilivu(Patience) ndio siri ya mafanikio,kwa sababu mpaka afike kileleni ni baada ya dakika 10 au 15 kutegemeana na kisimi chake kipo sensitive kiasi gani au yeye mwenyewe ana Hamu kiasi gani

Hii njia ya Pili ni Uhakika zaidi na ni Shortcut zaidi kuliko kutumia kidole,
Njia ya Pili ni kwa kutumia ULIMI(tongue),follow steps zifuatazo;
  • Kabla hujaanza kumsisimua(kumstimulate) kisimi chake,hakikisha umeshatumia zaidi ya dakika 10 kumsisimua maeneo mengine ya mwili wake kama vile matiti(boobs),lips,mapaja,makalio n.k(inatakiwa uke wake uwe umeloa(wet) kabla hata hujaanza kusisimua kisimi chake)
  • Hakikisha uke wake msafi,kama unatoa harufu ambayo haikupi hamu ya kupata Raha na Utamu ni heri tu uachane na hii process,kama msafi na una harufu tamu ya kimahaba basi unaweza ukaendelea.
  • Unaweza ukamtia hamasa na tamaa(kumtease) kwa kuanza kulamba na kunyonya mashavu ya uke ya nje(labia majora)
  • Ukishapeleka ulimi wako kwenye kisimi chake basi concetrate hapo hapo tu,usirudi tena kwenye mashavu ya uke,hayana hisia tena ukishagusa kisimi chake na ulimi
  • Haina tofauti sana na kumsisimua kwa kidole,lamba kisimi chake taratibu huku ukiangalia anavyorespond
  • ongeza speed kidogo huku ukiangalia anavyorespond
  • Important-Hakikisha meno yako hayagusi kabisa kisimi chake,yakigusa ujue unamuumiza hata kama asipokuambia
  • Endelea mpaka ukiona anazidi kuhangaika,acha kulamba anza kunyonya,changanya kulamba na kunyonya kisimi chake mpaka afike kileleni


  • Au kabla hujaingiza mashine yako kwenye uke wake,unaweza ukasugua kisimi chake kwa kutumia kichwa cha mashine yako(make sure hicho kichwa cha mashine yako kipo wet),sugua mpaka aanze kulalamika na kukulazimisha(kukuforce) uingize mashine kwenye uke wake,na ukitaka adate zaidi,usimsikilize,wewe endelea tu mpaka aingize mwenyewe,kama asipoingiza mwenyewe endelea mpaka afike kileleni(baada ya dakika 5) baada ya hapo ndio uingize,uendelee na mambo.

    2.KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA UKE (THE VAGINAL ORGASM)
    Hii ni mojawapo kati ya njia za kufika kileleni kwa mwanamke,ambapo Hisia za Raha na Utamu zinaanzia kwenye uke wake,hizi hisia za Raha zinaweza zikaishia kwenye maeneo ya nyonga au chini ya tumbo.

    Na kama wewe ni mwanamke utajua kuwa umefika kleleni pale utakapohisi misuli(muscles) ya uke,uterus,nyonga(pelvic) na hata (anus) inaanza kukaza(contract) huku ukiendelea kufeel Raha tena sana.

    Na unaweza ukajikuta unamkumbatia kwa nguvu either kwa miguu au kwa mikono mwanaume kutegemeana na Style mnayotumia ili mradi tu asiache kufanya kile yeye anaendelea kufanya.

    JINSI YA KUMFIKISHA KILELENI KWA NJIA YA UKE(THE VAGINAL ORGASM)
    Hakikisha umempasha joto vya kutosha(make sure she get enough foreplay),bila foreplay ya kutosha itachukua muda mrefu zaidi kumfikisha kileleni kwa kutumia njia hii.

    Mashine yako ikiwa ndani ya uke wake,siri ya kumfikisha ipo katika uwezo wako wa kucontrol speed na jinsi unavyothrust.

    Itachukua kama dakika 20 mpaka dakika 25 ndio ataweza kufika kileleni kwa kutumia njia hii,kwa hiyo unatakiwa uwe mvumilivu na pia jizuie usicum mapema(ukitaka kujua siri za mambo ya kufanya ili uweze kuchelewa kucum basi click).

    3.KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA G-SPOT (THE G-SPOT ORGASM)
    Grafenberg Spot a.k.a G-spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe(bean) ambacho kipo ndani ya uke,kwenye upande wa juu(upper walls),inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani.

    Angalia picha chini kwa maelezo zaidi.(Point G ilipo ndipo G-spot ilipo,unaweza kuifikia hata kwa kidole cha kati kama hapo kwenye picha)