Hii
ni daladala inayofanya safari zake kati ya stendi kuu ya manispaa ya
Iringa na Nduli mkoani Iringa. Gari hili liliacha njia na kugonga mti
maeneo ya Posta mkoani Iringa. Kwa bahati nzuri ni kuwa gari hilo
halikuwa na abiria na lilikuwa likielekea stendi kuu ili lipakie abiria
wa kwenda Nduli
No comments:
Post a Comment