Diamond na Hamisa Mobeto wadaiwa kuwa ni Wapenzi wa muda mrefu....Wema Sepetu ashauriwa kufungasha virago

Hamisa Hassan Mobeto ambaye ni model na actress anayekimbiza katika tasnia
ya filamu nchini anadaiwa kuwa mapenzini na Diamond Platinumz a.k.a
Sukari ya warembo huku uhusiano wao ukidaiwa kuwa wa muda mrefu.....
Chanzo
kimoja kilichodai kuwa karibu na Hamisa
ambaye alishawahi kushiriki katika mashindano ya Miss Tanzania
kiliuambia mtandao wa Swahiliworld kuwa Hamisa na Diamond ni
wapenzi wa muda mrefu na kwamba Wema Sepetu hana lake kwa
Diamond:

"Hivi
mnajua kuwa Diamond anawachanganya kwa wakati mmoja Wema na Hamisa
Mobeto?, Hamisa na Diamond ni wapenzi wa muda mrefu sana lakini
wanafanya siri...Hamisa anamwangalia tu Wema akiwewesekea penzi la
Diamond huku yeye
akijilia kivyake".Kilisema chanzo hicho
Hamisa alipotafutwa ili kutolea ufafanuzi madai hayo hakuweza kupatikana mara moja.

No comments:
Post a Comment