PICHA HIZI ZA MARTINI KADINDA NA JACK CLIFF ZIMEZUA UTATA MIDOMONI MWA WATU..!! ZITAZAME HAPA






Mbunifu wa mavazi Martin Kadinda akiwa pamoja na Jack patrick wakila
bata katika moja ya hotel za kifahari,imeonyesha kuwa Jack na Martin
kuwa wapo karibusana na furaha baada ya mwana dada huyo kupitia majanga
kibao....hivyo sio siri tenauwepo wa furaha kati ya jack na martin ...
No comments:
Post a Comment