Inawezekana
wewe ukawa miongoni mwa wengi wanaofuatilia skendo ya Miss Tanzania
2014, Sitti Mtemvu na inawezekana pia umeshajiuliza nini kitatokea
uchunguzi wa BASATA utakapokamilika na ikibainika kuwa alidanganya umri
wake. Baada ya mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania bwana Hashim
Lundenga kuulizwa na 255 ya XXL ya Clouds Fm, kama ‘ikitokea’ Sitti
akijivua taji/akithibitika alidanya umri, taji hilo atapewa nani au shindano litarudiwa? hiki ndicho alichojibu:
“Sitaki
kuzungumza hiyo sitaki kuzungumza mpaka ikitokea tutajua nini la
kufanya lakini haijatokea kwamba taarifa hizi ziko sahihi”.
No comments:
Post a Comment