MOYO WA KALA JEREMIAH WATESWA NA MSANII WA BONGO MOVIE,,,, NI BAADA YA KUZIONA PICHA ZA NUSU UTUPU ZA MSANII HUYO!!!!

MSANII kutoka jiji la
Mwanza ambaye alipata umaarufu kupitia Shindano la BSS amevunja ukimya
na kusema mambo mengi juu ya Msanii wa Filamu ambaye wanatoka wote jiji
moja la Mwanza ambaye anajulikana kwa jina la Suzane Michael. Kala
alifunguka hayo na kusema kuwa "Nawashangaa
sana hawa madada zetu yani wao wanaona kujiachia ndiyo wataishi mjini,
huyu dada mimi namfanhamu na sikutegemea kama ataweza kupiga picha za
hivi na kuziweka mtandaoni yani kwa hiki kitendo ameuvuruga moyo wangu
na kuuchafua kabisaaaa" alisema Kala
![]() |
| Mwanadada Suzane Michael |
Hata ivyo kala alizidi kuongeza "Unajua
kule kwetu Mwanza mtoto wa kike anajiheshimu sana na ndiyo maana
wanazidi kupendeza ila wakija Dar tu kila kitu kinakuwa nyuma mbele
mbele nyuma." aliongezea,
![]() |
| Suzane Michael |
Mwandishi wetu aliamua
kuvunja ukimya na kuanza kumtafuta mrembo huyu (Suzane Michael) wa Bongo
movies ambaye picha zake za nusu utupu zimezagaa mtandaoni ili aweze
kufunguka juu ya suala hili lakini bahati haikuwa yetu kwani kila
tulipojaribu kumpigia simu yake haikuweza kupatikana na hata tulivyofika
nyumbani kwake maeneo ya Sinza tuliambiwa amesafili kaenda kwenye
shughuri za sanaa.
![]() |
| Suzane Michael na vazi la kutokea |
Mwandishi wetu hakukata
tamaa ndipo alipompata rafiki wa karibu wa msanii huyu ambaye hakutaka
jina lake litajwe na akaamua kufunguka na kusema "Hizo
picha ni chache sana tena sana na kama Kala kasema ni mbaya basi
kakosea kwani Suzane anapicha mbaya zaidi hata ya hizo hapo na kama
unataka nitakupa uzione yani hata sisi huwa tunamshangaa yani hata
mavazi yake ya mtaani hayana maadili kabisaa yani anaonekana kama yupo
uchi tu" alisema rafiki huyo
![]() |
| mmMHHH..... |
Mwandishi wetu alipata
bahati ya kuziona hizo picha na kusema hazifai kabisa katika jamii ila
akatoa ahadi ataziachia ili kuonyesha madudu yanayofanywa na wasanii
wetu wa Bongo Movies.
source:SWAHILI




No comments:
Post a Comment