Monday, 3 February 2014

AIBU,,,, MSANII WA BONGO MOVIE ATUPIA PICHA MTANDAONI AKILIWA "DENDA" NA LUTENI KARAMA,,, ONA MAJANGA HAYO HAPA!



AIBU,,,, MSANII WA BONGO MOVIE ATUPIA PICHA MTANDAONI AKILIWA "DENDA" NA LUTENI KARAMA,,, ONA MAJANGA HAYO HAPA!










Msanii wa maigizo na
mwanamziki Bela Fasta aliyekuwa anaunda kundi la muziki wa Bongo fleva
la Scopion girls lilokuwa na  memba watatu ambao ni Jack wa Chuz, Jini
Kabula na Bela Fasta hivi majuzi kati aliamua kuachia picha mtandaoni
akiwa analiwa DENDA na msanii aliyekuwa kundi la wanaume family Luten
Karama ambaye inadaiwa wapo kwenye mapenzi mazito kupitiliza.








Bela aliamua kufanya hivyo ili kuiambia jamii kuwa sasa yeye ni mpenzi wa mtu na hiki ndicho anachofaidi katika mapenzi yake.












Tazama picha hizo hapa chini








 

No comments:

Post a Comment