LICHA YA MANENO MACHAFU, STARLISHA "CHAGGA BARBIE" ARUDISHA MAJESHI KWA PREZZO...CHEKI KAULI YAKE HAPA

alishambuliwa na kudhalilishwa Msanii Prezzo na mpenzi wake Starlisha Tillya
al-maarufu CHAGGA BARBIE still ule msemo wa wagombanao ndio wapatanao
ulishika nafasi yake baada ya mwanadada wa Kitanzania
ambaye anaishi Marekani
ameshindwa kumsahau mfalme mswati Prezzo nakuamua kupost picha ambayo aliandika
na maneno kadhaa ambayo yalidhihilisha kuwa wamerudiana kama
inavyoonekana hapo chini katika picha;
No comments:
Post a Comment