MFANYAKAZI wa
Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na
majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa
fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar.
Mtandao
huu ulimtafuta Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Mary Nzuki kuelezea
zaidi tukio hilo, lakini simu yake iliita bila kupokelewa.
No comments:
Post a Comment