Mwalimu Mkuu Msaidizi, Gabriel Mselemu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
WANAFUNZI wa
Shule ya Msingi Sinza Maalumu (walemavu wa akili) iliyopo Kijitonyama,
Dar es Salaam, jana na leo wameshindwa kwenda shule kutokana na basi la
shule yao kukamatwa na askari wa usalama barabarani maeneo ya Kinondoni
baada ya dereva na askari kushindwa kuelewana.
Akizungumza leo na mtandao huu, Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo,
Gabriel Mselemu, alisema ni wanafunzi 10 tu ndiyo walioweza kufika
shuleni kati ya wanafunzi themanini baada ya basi
No comments:
Post a Comment