TRAFIKI ACHEZEA KICHAPO HEAVY UBUNGO... JIONEE HAPA!
Wananchi wamemshambulia na kumkamata askari wa usalama barabarani maeneo ya Ubungo - Dar es Salaam baada ya kusababisha ajali.
Kwa
mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, askari huyo alisababisha ajali hiyo
wakati akiongoza magari baada ya kuita magari kutoka pande mbili kwa
wakati mmoja.
Pichani raia wakimlazimisha askari huyo kuingia kwenye bajaji ili kumfikisha kituo cha polisi.
No comments:
Post a Comment