| Msanii
mkali wa Bongo Fleva @Nuh Mziwanda akiwa bebe wake pande za Dodoma
kwenye ukumbi wa Mtei Lounge waliswa na Camera za Paparazi wetu
aliyekuwa Maeneo hayo, Inasemekana Shilole alikuwa anaenda msalani na
kumwomba kipenzi chake amsindikize baada ya kutoka huko walizama chochoro
na kuanza kunyonyana ndimi kwa hisia kali za mahaba yani zile za
kipombe pombe
|
No comments:
Post a Comment