Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita
nyumbani kwa mwigizaji Aunt Ezekiel kulipokuwa na sherehe ya mtoto
kutimiza siku arobaini tangu kuzaliwa ambapo staa huyo alidaiwa kufanya
hivyo akiwa na ‘akili za usiku’.
...‘Shija’ akionekana kuchangamka katika sherehe iliyofanyika nyumbani kwa anti Ezekiel.
“Mh! Nimejikuta naingia uwanjani moja
kwa moja kwani ngoma ilinishawishi aisee nimecheza kinoma,” alisema
Shija kwa lafudhi ya kukatakata maneno.
No comments:
Post a Comment