Meya wa Ilala, Jerry Slaa ndani ya Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki
iliyopita ndani ya Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar, ambapo Slaa
alikuwa amealikwa kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za Watu ndipo
alipoambatana na mkewe huyo.
Jerry Slaa akiwa na mkewe usiku huo wa tuzo za watu.
Akiwa kwenye hafla hiyo, ghafla
mheshimiwa alijikuta akitimua mbio huku akimuacha mkewe akiwa ameketi
kwenye kiti chake baada ya kikundi cha ngoma za asili kuanza kutumbuiza
na mmoja wao akichezea nyoka huku akielekea mahali alipokuwa ameketi
Slaa na mkewe.
Hata hivyo, nyoka huyo alirudishwa na baadaye Slaa akarejea alipokuwa ameketi awali.
No comments:
Post a Comment