Matukio katika Picha Live Recording ya The Reapers KLPT toka Kimara
Kwaya ya KLPT Kimara alimaarufu The
Reapers Siku ya jana katika Ukumbi wa VCCT walifanya Live Recording
yenye jina la "Wanipa Raha". Kwaya hiyo ambayo ilikuwa ikirecord Albam
yake ya 4 ya DVD tangu kuanzishwa kwake siku ya jana walidhihirisha kuwa
wao ni kati ya Kwaya chache sana zilizobaki hapa Tanzania. Wakiimba kwa
kujiamini siku ya jana na zoezi la Live Recording likianza saa 11:10
lilimalizika rasmi saa 2 usiku huku watu wakiwa bado katika ukumbi huo.
No comments:
Post a Comment