KAHABA ANASWA AKIJIUZA NJE YA OFISI ZA SERIKALI
mrembo akifanya biashara haramu.
Tukio hilo lisilo la kimaadili lilijiri usiku wa manane wikiendi iliyopita kwenye ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama, Dar.
Baada
ya kupokea kero kwa wakazi wazalendo wa eneo hilo kuwa ofisi yao
inanajisiwa, paparazi ilifanya uchunguzi wake wa kina na ilipojiridhisha
ndipo ikaweka mtego.
Kabla ya tukio ilisemekana kuwa pamoja na ngono kufanyika waziwazi na machangudoa waliopo maeneo mbalimbali ya Sinza na Kijitonyama, Dar, siku hizi wadada hao wafikia hatua mbaya zaidi kwa kufanyia maeneo yenye hadhi na sifa maalum kama viwanja vya shule za msingi, nje ya ofisi za watu, karibu na misikiti na makanisani.

“Yaani
siku hizi hawa wasichana hawani soni hata tone, wamefikia hatua ya
kufanyia ngono sehemu rasmi tena bila kificho, kwa mfano pale maeneo ya
Sinza-Mapambano si wanafanyia ngono kwenye uzio wa shule!
Ukifika
pale asubuhi utakuta kondomu kibao. Hata pale kwenye ofisi za mtendaji
utawaona wanafanyia ngono kule nyuma kwenye miti bila hata ya hofu,”
alisema mmoja wa wakazi wa Kijitonyama.
Tukirudi kwenye tukio,paparazi ikiwa doria chimbo, mishale ya saa nane na nusu usiku, hakukuwa na purukushani yoyote iliyoonesha viashirio vya ngono nje ya ofisi hiyo
Tukirudi kwenye tukio,paparazi ikiwa doria chimbo, mishale ya saa nane na nusu usiku, hakukuwa na purukushani yoyote iliyoonesha viashirio vya ngono nje ya ofisi hiyo
Ghafla
nusu saa baadaye walishuhudia Bajaj ikisimama mbele na kumshusha mrembo
mmoja maarufu kwa jina la Shishi akiwa na ‘mteja’ kisha wakajibanza
kwenye miti nje ya ofisi hiyo.
paparazi
walikuwa makini kufuatilia mchezo mzima ambapo waliwashuhudia wawili
hao wakitandika khanga tayari kwa ajili ya ‘mambo yao’.
Baada ya kila kitu kuwa sawa ndipo walipiga simu kwa askari wa doria waliokuwa maeneo hayo na kuwavamia kisha kuwatia nguvuni ambapo katika kujitetea mrembo huyo alisema kuwa, mteja wake alimlazimisha kufanyia ngono katika eneo hilo kwa sababu alimaliza fedha zote kwa kumnunua yeye pombe.

“Najua
eneo hili ni la serikali lakini huyu jamaa alikuwa na fedha kidogo na
nyingine ya gesti nikaamua bora yote anipe mimi kisha nikamleta hapa.
Nisameheni sitarudia,” alisema mrembo huyo huku mteja wake aliyeonekana kukolea kinywaji akiomba aachiwe kwa kuwa hakujua alilokuwa akilifanya.
Hadi tunaondoka eneo la tukio wawili hao walikuwa wametaitiwa mikononi mwa polisi ambapo kwa kawaida kisheria watashitaki kwa kosa la uzembe na uzururaji.
Alipotafutwa
Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama ili kuzungumzia ishu hiyo hakupatikana
hewani na hata alipofuatwa ofisini kwake kulikuwa na kufuli kubwa.Nisameheni sitarudia,” alisema mrembo huyo huku mteja wake aliyeonekana kukolea kinywaji akiomba aachiwe kwa kuwa hakujua alilokuwa akilifanya.
Hadi tunaondoka eneo la tukio wawili hao walikuwa wametaitiwa mikononi mwa polisi ambapo kwa kawaida kisheria watashitaki kwa kosa la uzembe na uzururaji.
No comments:
Post a Comment