Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye
daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha
kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa
sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa
anashangaa.
Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio
mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende
tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
bofya hapa chini kwenye picha inayoonekana ucheck video ilivyokuwa live ndani ya daladala..nishiiidah

No comments:
Post a Comment