STAA WASTARA APINGA MASTAA KUAGWA LEADERS.sababu ijue hapa!
Wastara Juma akiwa katika moja ya msiba wa wasanii wa Bongo Muvi .
Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepinga kitendo cha mastaa wa Bongo kuagwa Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar wanapokutwa na umauti.
No comments:
Post a Comment