BREAKING NEWS: WATU 18 WAFARIKI DUNIA ENEO LA MAKONGO KWA AJALI YA COASTER NA LORI, TAZAMA PICHA ZA TUKIO HAPA ILA ZINATISHA

Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya
watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.!



No comments:
Post a Comment