MREMBO ALIYEKUNYUGWA NA CHID BENZI ATIMKIA SAUZI
MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda.
Paparazi
alitia timu nyumbani kwa binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili kujua
maendeleo yake ambapo mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake lichorwe
hapa paparazi, alijibu kwa kifupi:
“Aisha hayupo amekwenda Sauzi kwa muda, kuhusu alichokifuata mimi sijui. Ila hajambo na anaendelea vizuri.”
“Aisha hayupo amekwenda Sauzi kwa muda, kuhusu alichokifuata mimi sijui. Ila hajambo na anaendelea vizuri.”
Aprili
mwaka huu, Chid Benz alishtakiwa katika kituo cha Polisi cha Pangani,
Ilala kwa kosa la kumshambulia Aisha ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake.
No comments:
Post a Comment