historia ya kitare aka mkude simba hii hapa!!
Musa Kitale ‘Kitale’ aka mkude simba
Other Name/s: Musa Kitale ‘Kitale’ a.k.a ‘Rais wa Mateja’.
Musa
Kitale alizaliwa mwaka 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza miongoni mwa wanne
wa familia ya Mzee Yusuph Musa na mama Mwanahawa Abdallah, akiwa na
asili ya Mkoa wa Morogoro.

Musa Kitale ‘Kitale’ a.k.a ‘Rais wa Mateja’.
Kitale alisoma katika
Shule ya Msingi Uzuri iliyopo Sinza, Dar es Salaam na kuhitimu mwaka
2001. Baada ya hapo, alijiunga na Sekondari ya Morogoro na kumaliza
mwaka 2006.

Anasema, japokuwa sanaa
alianza rasmi alipokuwa darasa la saba, ambako alikuwa akiigiza na kundi
la Kaole, lakini shughuli hii ilimkolea hasa pale alipomaliza kidato
cha nne na kuamua kuhamia Kampuni ya Tuesday Entertainment, chini ya
Tuesday Kihangala na jina lake likazidi kung’ara katika mchezo wa Jumba
la Dhahabu, uliokuwa ukirushwa na kituo cha Star TV.

Mbali na kuigiza Jumba
la Dhahabu, pia alishacheza ‘Ua Jekundi’ kama mtoto mtukutu, wakati
akiwa katika Kampuni hiyo ya Tuesday na hapo ndipo staili yake ya uteja
ilipompandisha chati.

Hata hivyo, Kitale kwa
sasa anabainisha kuwa anafanya kazi chini ya Kampuni ya Al Rihamy,
ambayo anadai kuhamia kunatokana na masilahi, kwani yeye kama binadamu
wengine anataka atengeneze maisha yake ya baadaye.

Kazi za filamu
Kitale
anasema pamoja na kufanya kazi na kampuni mbalimbali, pia ameweza
kutengeneza filamu zake mwenyewe kama vile ‘Mbwembwe’, ‘Kubwa Jinga’ na
‘Porojo’ ambazo ni za vichekesho (comedy),’Bad Night’, na ‘More Than a
Lion’ aliyomshirikishwa msanii wa miondoko ya bongo fleva, Dogo Janja.

Aidha, anasema, kutokana na kipaji alichonacho, pia anacheza ‘serious’ filamu, ‘comedy’ na pia huimba katuni bongo fleva.
Mafanikio
Katika mafanikio, anasema si mabaya ukilinganisha na huko nyuma alipokuwa akiigiza tamthilia.

Japokuwa hakutaka kuwa
wazi katika mafanikio aliyoyapata, anasema kwa sasa hafikirii kabisa
suala la kuigiza tamthilia, labda aje mtu atakayeweza kumlipa kiasi
atakachoridhika nacho.

Ushauri
Akianza
na wasanii wenzake, Kitale anasema ni vema wakawa na umoja wa kweli ili
kutetea haki zao, ambazo wamekuwa wakizikosa kwa muda mrefu, badala ya
unafiki unaofanywa sasa hivi, ambapo baadhi ya wasanii wenye majina
wamejitenga na kuanzisha ‘club’ yao.

Kwa upande wa serikali,
anasema ni vema ikatambua kazi za wasanii na kutoa mfano wa nchi kama ya
Marekani, wasanii wamekuwa wakichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa
uchumi wa nchi hiyo.

Pia ametaka haki za
wasanii kuwekwa katika sheria za nchi, ili iwe rahisi kwenda katika
vyombo vya sheria pale wanapofanyiwa ndivyo sivyo.

Kwa jamii, Kitale
anasema, isiwe inawachukulia waigizaji kuwa wanavyoigiza ndivyo tabia
zao, bali wanafanya vile ili kufikisha ujumbe.

Katika hilo anasema hata
yeye anavyoigiza kama teja, hajawahi hata siku moja kuvuta bangi wala
mihadarati, ila ujuzi wa kuigiza uteja ameupata kutokana na mazingira
aliyokulia ya Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, kuwa na watu
wa aina hiyo.

“Mashabiki wangu nataka
muelewe kuwa mimi ni kijana safi na ninamcha Mungu, ila wanayoyaona
nikiigiza ni katika kutoa mafunzo kwa vijana wenzangu, kwani dawa za
kulevya si kitu kizuri,” anasema Kitale.

hivi sasa kitale
amejiongezea umaarfu zaidi kwa jufanya vichekesho na kujulikaa kama
mkude simba ambavyo hutumika sana kwenye magroup ya whatsapp

No comments:
Post a Comment