Thursday, 29 May 2014

Yaliyojiri katika Tamasha la kusifu na Kuabudu liloandaliwa na Voice of Triumph Arusha

Yaliyojiri katika Tamasha la kusifu na Kuabudu liloandaliwa na Voice of Triumph Arusha

Kundi la kusifu na Kuabudu kutoka katika Ardhi ya Arusha Voice of Triumph (VOT) limefanya Tamasha la Kusifu na Kuabudu kwa Kutimiza miaka mitatu ya Huduma yao.
                                             Voice of Triumph wakiingia ukumbini
  

 Music Director Jimmy Kimutuo akiongoza jahazi la Muziki
                                      Presidaaa wa VOT Elder Tolla G ndani ya uwepo
Mise Anael akienda sawa
 

No comments:

Post a Comment