Thursday, 29 May 2014

Kwaya Ya "The Reapers" Wafanya Live Recording

Kwaya ya KLPT Kimara alimaarufu The Reapers Siku ya jana katika Ukumbi
wa VCCT walifanya Live Recording yenye jina la "Wanipa Raha". Kwaya hiyo
ambayo ilikuwa ikirecord Albam yake ya 4 ya DVD tangu kuanzishwa kwake
siku ya jana walidhihirisha kuwa wao ni kati ya Kwaya chache sana
zilizobaki hapa Tanzania.

Wakiimba kwa kujiamini siku ya jana na zoezi la Live Recording likianza
saa 11:10 lilimalizika rasmi saa 2 usiku huku watu wakiwa bado katika
ukumbi huo.

Kwa ya ya Dar-es-Salaam Gospel Choir pamoja na Kinondoni Revival Choir ndio waliosindikiza The Reapers katika siku ya Jana.

Live Recording hiyo ilifanywa na AJM Recordings Iliyo chini ya Director Joyce Mlabwa

 Dar-es-Salaam Gospel Choir Wakiwa Stejini

 Revival Choir Wakiwa Stejini siku ya Jana

 Mc nambari One, Ze Blogger akiwa Kikazi Zaidi

 Hallo Hallo Test Test, Moja Mbili Tatu, Tunajaribu

 The Reapers Wakiwa Jukwaani

 Mc Wa Event Ze Blogger and The Event Manager Fred wakitathimini Event

 Kikazi Zaidi

 Jamaa akila Shoots za Ukweli

 From The Top

 The Reapers Wakiwa wanajiandaa Kupanda Stejini

Kama kawa kama dawa

Ze Blogger Kutoka Clouds Tv na Mzee wa Najua Wajua lakini Wataka Kujua
Zaidi Emmanuel Likuda wa Jahazi la Clouds FM ndani ya The Reapers
Basi Sawa

No comments:

Post a Comment