WANA-AFRIKA MASHARIKI TUMPIGIE KURA DIAMOND PLATNUMZ ILI ANYAKUE TUZO YA BET AWARDS
Ni siku ya tatu leo Diamond Platnumz anaongoza katika kura za
BET AWARDS akiwazidi wasanii wengine wakubwa kama akina Toofan (Togo)
ambaye ana 12.58% Mafikizolo (South Africa) ana 7.09% Davido (Nigeria)
ana 4.74% , Tiwa Savage (Nigeria) 3.95% na Sarkodie (Ghana) 2.86% za
kura katika kipengele wanachohindanishwa cha Best International Act:
Africa
Diamond (Tanzania) ndo msanii pekee kutoka Afrika
Mashariki aliyeingia katika mashindano ya tuzo hizo kubwa kabisa
duniani, na mpaka sasa ndo kinara wa kura nyingi ana 68.78%
Kama
bado hujampigia kura wewe mwa Afrika Mashariki na kwingineko, naomba
ubofye hii link kupiga kura yako ili tuilete tuzo hiyo kubwa duniani
hapa Afrika Mashariki (Tanzania) http://v1019.cbslocal.com/2014/05/14/jay-z-and-beyonce-make-headlines-again/#pd_a_8047572
Safi sana Diamond!!!! Safi sana Tanzania!!!!!! Safi sana Afrika Mashariki!!!!!!!!!!!!

No comments:
Post a Comment