PICHAZ: LAANA+AIBU TUPU..UVAAJI WA MAVAZI YA NUSU UCHI TANZANIA, SERIKALI HAILIONI HILI?!UKIMWI UTAISHA KWELI?!
Miongoni
mwa wadada wengi siku hizi wanapokuwa katika kumbi za starehe ufanya
mambo ya ajabu kupita maelezo, aidha kwa kuvaa nguo ambazo zinaonesha
maungo yao au ata kujifunua makusudi na wakati mwingine ata kukaa vibaya
mbele za macho ya watu.

Mi
naamini kila jambo lina makusudio yake uenda makusudio yao ni kupata
wanaume kiuraisi nikiwa na maana kuwa wanajiuza kwa sababu kama mtu
unajiheshimu uwezi kuonesha nyeti zako kwa watu. Wengine wanafanya
vituko wakiwa wamelewa je ni kweli pombe ndiyo imewapelekea wayafanye
hao? Kama ni pombe mbona watu wengine wanakunywa na hawafanyi mambo kama
haya?!

Jamani
si kila mlango uliofungwa sharti ubishe hodi uenda kukawa hakuna mtu
ndani, yani namaanisha wadada wanaovaa nguo ambazo zinawaonesha sehemu
zao za siri inawezekana hawana wapenzi na kama wanao wapenzi basi ni
mapunguani kama wao. Sina mengi ya kuzungumzia machafuko ya macho ila
unaweza kupata maana nyingi kwa kuangalia picha hapa chini....

No comments:
Post a Comment