HARUSI YA KANYE WEST KUFURU
Wakati leo ndiyo siku ya harusi ya rapa Kanye West anayemuoa Kim
Kardashian katika sherehe itakayofanyika Florence nchini Italia, msanii
huyo wa kiume amesema mkewe mtarajiwa ni mzuri kuliko kipaji chake.

Jumla ya wageni 600 walikuwepo katika pati maalum iliyofanyika jana
katika ukumbi wa Hall Of Mirrors ambako wawili hao walithibitisha
kufanyika kwa ndoa yao leo.

Hata hivyo, katika sherehe hiyo, Best Man, Jay Z na mkewe Beyonce
hawakuwepo, ingawa bvado kuna matumaini kuwa wapambe hao wa karibu wa
wanandoa watarajiwa, watakuwepo harusini baadaye leo.

No comments:
Post a Comment