DIVA AMKINGIA KIFUA MSICHANA ALIEFUKUZWA CHUO KWA KUJIUZA MTANDAONI, SOMA HAPA..
Baadaya yule mwanafunzi wa chuo kujirekodi akisema shule imemshinda bora tu
aolewe bure na mwanaume lakini awe na pesa kupigwa chini CHUO
(inasemekana lakini).....Mwanadada Diva the Bawse, mtangazaji wa CLOUDS FM ameibuka na kushangazwa na kitendo cha mwanafunzi huyo kufukuzwa chuo....
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, DIVA aliweka picha na video clip hiyo na kuandika hivi; "khee?! Kwani mtu akiwa Malaya anajiuza kuna sheria ya kumfukuza chuo?!"
No comments:
Post a Comment