Baada ya ugomvi wa Wema na Kajala, huyu ndio shosti mpya wa Wema.
Maneno
yalikuwa yanasemwa mtaani na baadae ikajulikana kuwa ni kweli Kajala na
Wema hivi sasa wapo katika ugomvi mkubwa tu, jambo ambalo Kajala
mwenyewe alifunguka kuwa, Ndio tunaugomvi kama walivyo marafiki wa
kawaida kugombana, ila muda ukifika tutayamaliza”, hiyo ndio kauli ya
kajala toka akiri kuwepo kwa ugomvi huo, huku kwa upande wa Wema mambo
yako hivi;
“Thank
you ma love for zawadi… hapa meno sasa kuoza ni lazima… I loooove
looooove loooooove you… Raha ya kusafiri zawadi… God bless u ma love… @auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel
Sasa basi najua nina deni la pictures… Hapa nafanya kazi ya kuzikusanya
zooooote… Kesho mtachoka nyie… Maana ni tokea Mtwaraa si mnakumbuka….
Mi nawapenda sana…”aliyatumia Wema Sepetu maneno hayo kupitia uwanja
wake wa kujidai wa instagram.
Wakati
kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu
siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa
Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza unapamba
moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo, ushostito
wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na Kajala.
No comments:
Post a Comment