Tuesday, 27 May 2014

Picha za mume wa msanii Recho, George Saguda akiwa na simanzi baada ya kumpoteza mkewe na mtoto

Picha za mume wa msanii Recho, George Saguda akiwa na simanzi baada ya kumpoteza mkewe na mtoto

Mume wa marehemu Recho, George Saguda,akiwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha mkewe  na  mtoto.
 
 Baadhi ya wasanii wa Bongo
Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za
msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho'

Msanii  Rachel  Haule  katika  enzi  za  uhai  wake

No comments:

Post a Comment