agness Masogange ni Mama Kijacho, Kuolewa Hivi Karibuni

Hakuna
ubishi kua Agness Masogange ndio Video Queen maarufu zaidi hapa Bongo,
ametokelezea katika video mbalimbalia hapa Bongo lakini iliyomtoa zaidi
na kumpa jina la Masogange ni video ya Belle9. Uzuri na umbo lake
linawaingiza katika matamanio mengi wanaume walafi lakini kwa
inavyosemekana Agness ana wake.
Umaarufu
wake uliongezeka zaidi pale alipokamatwa na madawa huko Afrika Kusini,
jambo lilomfanya anyee debe kidogo kabla ya kuachiwa na kurudi uraiani
kwa mbwembwe zote. Ikapita miezi michache akarudi bongo huku akiwa mtu
huru kabisa.
Wiki
chache zilizopita Agnes aliamua kurudi sauzi kwa yule mchumba wake
aliyekoswa koswa kukamatwa nae na madawa ya kulevya na tetesi zinasema
kua alirudi sauzi kumpa taarifa bwana wake huyo kua yeye kwa sasa ni
mjamzito.

Tetesi
hizo zimethibitishwa jana pale Agness alipoamua kuweka picha yake
Instagram na kuandika " Mama Kijacho " Ikimaanisha kua siku si nyingi
ataingiza kiumbe kipya duniani. Inadaiwa kua Mchumba wake huyo kwa
furaha aliyoipata baada ya kupewa taarifa hizo aliamua kumvalisha pete
ya uchumba kabisa.

Habari
BongoClan tulizozipata kutoka kwa ndugu wa karibu wa Agness ambae
hakutaka kutajwa jina lake ni kua Mchumba wake huyo anaplan za kuja
Bongo kutoa mahari kabisa ili baada ya Masogange kujifungua wafunge
Pingu za maisha.

Ndugu
huyo aliendelea kusema kua Pete ya uchumba aliyovalishwa Masogange ina
gharama ya shilingi milioni 16 za kibongo. Tunapenda kutoa hongera kwa
Agness na mchumba wake kwa kuamua kuchukua maamuzi mazuri ya kupata
mtoto kwani mastar wengi wanaogopa kuazaa kwa kuhofia kushuka umaarufu.

No comments:
Post a Comment