Tuesday, 27 May 2014

MAINDA AACHA KUVAA VIMINI,kisa soma hapa!

.

MAINDA AACHA KUVAA VIMINI,kisa soma hapa!!

IMEKAA poa
sana! Shosti anayesukuma maisha kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth
Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya mabadiliko ya mavazi kuanzia kwenye
filamu hadi maisha yake binafsi.




Muigizaji wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’.
Akizungumza
na paparazi, Mainda alisema kuanzia sasa watu wategemee mabadiliko
makubwa katika maisha yake kwani ameamua kuvikacha viminihivyo anaishi
katika matakwa ya dini.
“Nitafanya
filamu za kumtukuza Mungu hata kama zitakuwa si za kumtukuza moja kwa
moja ila zitakuwa na maadili mazuri yasiyopotosha jamii na kumuudhi
Mungu, sitavaa vimini tena,’’ alisema Mainda.

No comments:

Post a Comment