Saturday, 31 May 2014

KIFO CHA TYSON CHAMLIZA ZAIDI Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show,



KIFO CHA TYSON CHAMLIZA ZAIDI Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show,



Mtangazaji
wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu akiwa nje
ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha maiti
kuelekea Dar. 




Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa kipindi chake na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa magari tofauti.




Mboni (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa ITV, Devota Minja
Mboni akifarijiwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka.

No comments:

Post a Comment