Saturday, 31 May 2014

hali harisi NYUMBANI KWA MAREHEMU:BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU GEORGE TYSON

hali harisi NYUMBANI KWA MAREHEMU:BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU GEORGE TYSON

Betrice Shayo(aliyelala) mke wa marehemu George Tyson.

Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani.
Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu.

Waombolezaji.

Nyumbani kwa marehemu George Tyson-Mbezi Makonde.

Natasha mama yake Monalisa ambaye alikuwa mke wa Tyson.

Mwanamuziki Mad Ice akiwa msibani.

Wanafamilia wakiwa katika kikao.

No comments:

Post a Comment