Saturday, 31 May 2014

AY ajitolea kununua jeneza la laki sita cash kwa ajili ya kusafirishia mwili wa marehemu EORGE TYSON



AY ajitolea kununua jeneza la laki sita cash kwa ajili ya kusafirishia mwili wa marehemu EORGE TYSON

msanii
wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' (anayehesabu pesa) aliamua
kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili wa marehemu EORGE TYSON,
jeneza hilo liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo AY alizitoa
cash!










.....wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua


Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba (mbele), akiongozana na AY kuelekea hospitalini

No comments:

Post a Comment