Juzi na jana kulikuwa na habari katika gazeti na
mitandao mingi kuwa Wastara na Bond Bin
Suleiman ni wapenzi na wamekuwa wakifanya siri
sana huo uhusiano wao. Habari ambazo zilinukuu
chanzo kimoja zilieanda mbali zaidi zikisema
huenda Bond ana tabia ya kufanya mapenzi na
mwanamke kotekote kwani aliyekuwa mpenzi
wake wa zamani Lulu Semagongo(Anti Lulu)
alidaiwa kuwahi kukaririwa akisema kuwa
anapenda sana kufanya mapenzi kinyume na
maumbile na hawezi kuacha tabia hiyo.
Baada ya habari hizo kusambaa ilibidi blog yetu
kuwatafuta mastaa hao wawili na wa kwanza
kupatikana alikuwa ni Wastara na alikana kuwa
katika penzi na Bond ila alisema wanafanya kazi
pamoja kwani kwasasa wanashuti filamu mpya ya
Bond inaitwa Uaminifu Dhaifu. Aliongeza kwa
kusema kuwa Bond ni kama kaka yake. "sina
mahusiano na Bond zaidi ya kikazi tu na zile picha
zote ambazo unaziona ni wakati tupo location
tukiandaa filamu yake inaitwa Uaminifu Dhaifu, huo
ndiyo ukweli, bora mume wangu angekuwepo haya
yote yasingetokea
Baada ya hapo ilibidi kumgeukia Bond ambaye
yupo location wakimalizia filamu hiyo na
alipoelezewa hayo alisema hana uhusiano wa
kimapenzi na Wastara na picha zinazodaiwa kuwa
ni wapenzi ni za filamu mpya ambayo tuliweka
hata hapa katika blog yetu, alisema kuwa huyo
Anti Lulu anatafuta kuandikwa tu kwenye magazeti
ndiyo maana anatoa habari hizo zisizo za kweli ili
kujipatia umaarufu "Sio kweli ni picha za kazi tu
ambazo hata wewe nilikutumia magazeti
yanazigeuza, Lulu achana nae anatafuta
kuandikwa, tulishachana kitambo wala hatuna
mawasiliano.
Share
Wednesday, 27 November 2013
WASTARA"SINA MAHUSIANO YOYOTE NA MR BOND NAJUTAAA........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment