Akizungumza
na Paparazi, Diamond amesema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo
mara nyingi hutolewa kwa wasanii wakubwa Marekani na kuamini kwamba
muziki wa Tanzania unathaminika kila kona.
“Nimefurahi
maana hii inaonyesha jinsi gani muziki wetu umekuwa hadi kufikia Afrika
kuwa moja ya kionjo hasa kwenye tamasha kubwa kama hilo, kiukweli
sikuwahi kufikiria hapo mwanzo,” alisema Diamond.

No comments:
Post a Comment