Kwa
mujibu wa mnyetishaji wetu, tukio hilo lililijiri hivi karibuni
nyumbani kwa Snura maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo
wawili hao walibambwa wakiwa wamejiachia ‘wakifanya yao’.
Mnyetishaji huyo alidai kuwa wawili
hao walikuwa wakiminyana bila kujali macho ya watu waliokuwa wakifika
nyumbani kwa Snura hasa marafiki na majirani zake.
>>BOFYA PICHA NDOGO HAPA CHINI KUONA WAKIFANYA LIVE..<<
No comments:
Post a Comment