Binti
mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Bilaila, hivi karibuni alijikuta
akipata kipigo kikali kutoka kwa mama mmoja ambaye jina lake halikuweza
kufahamika mara moja kwa madai kwamba, amekuwa na tabia ya kupora
mabwana wa watu.
Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi
karibuni katika maeneo ya Manzese Uwanja wa fisi jijini Dar es Salaam na
kushuhudiwa na umati wa watu.
Awali wawili hao walisikika wakirushiana maneno makali huku Bilaila akituhumiwa kupora waume .

No comments:
Post a Comment