| Milango ya Uwanja wa ndege wataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ilifunguka kumkaribisha Waje bongo |
| Hakika alionekana na furaha Kutua tanzania |
| Waoooo |
| Waje akiojiwa na mtangazaji wa clouds media baada ya kuwasili |
| Asikwambie mtuu Serengeti Fiesta Dar es saalam 2014 |
No comments:
Post a Comment