Thursday, 16 October 2014

Picha 20; Mapokezi ya meneja wa T I yaleta furaha kwa wapenda burudani wote n'je na ndani ya Tanzania

Kutoka U S A mpaka bongo


Moja wa wakilishi wa cloudsmedia akiwapokea


  Huyu ndie Jason Geter meneja wa T I






Jason Geter mbele ya camera ya clouds media group kwajili ya interview









Baada ya mapokezi moja walee
Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio wa manager wa msanii mkubwa wakimataifa T I kuwasili katika aridhi ya Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere,furahiyo n ikwasababu huu ni uthibitisho wa msanii huyo wa kimataifa kuja kwajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi hii 18 oct 2014 pale pale ledears club.

No comments:

Post a Comment