SORRY! Vikao vya maandalizi
ya harusi ya msanii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda vimeahirishwa na
kusogezwa mbele baada ya kupata msiba wa dada yake.
Msanii
wa muziki Bongo, Isabela Mpanda. Akizungumza na gazeti hili, Isabela
alisema vikao vya maandalizi vilikuwa vianze Jumapili iliyopita lakini
waliahirisha kutokana na msiba hivyo familia imeamua wasubiri mpaka siku
arobaini ziishe ndipo waendelee na maandalizi ya harusi.
“Dada
yangu Fau ameniuma sana jamani hivyo kikao changu cha kwanza cha
maandalizi ya harusi kimepelekwa mbele mpaka arobaini iishe ndipo mambo
hayo yaendelee,”alisema Isabela.
Isabela
na mpenzi wake wa siku nyingi, Luteni Karama wanatarajia kufunga ndoa
mwishoni mwa mwaka huu ambapo Isabela amekuwa akifanya maandalizi ya
nguo kabla hata vikao vya maandalizi kuanza.

No comments:
Post a Comment