“MADAM...Madam...Madam...” ndizo kelele
zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa
akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi
Isiyaka ‘Dogo Aslay’.

Tukio hilo limetokea ndani ya ukumbi wa
Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem na kuweka historia kwa Wema kuwa staa wa
kwanza ‘kumwaga’ fedha wakati wa uzinduzi wa bendi ya Yamoto.

MAMBO YALIVYOANZA
Awali,
wakati bendi ya Yamoto ilipokuwa ikitumbuiza, ulifika wakati kiongozi
wa bendi hiyo, Said Fella alitambulisha uwepo wa Wema kwa kudai
amemuwakilisha bebi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivyo apande jukwaani
na kusema chochote lakini mrembo huyo akasema kilichompeleka ukumbini
hapo ni uzinduzi wa Yamoto Band.

“Jamani nimekuja hapa kwenye uzinduzi wa
Bendi ya Yamoto na siyo kumuwakilisha Diamond, ya huku hayamuhusu
kabisa sasa semeni niwaimbie wimbo gani,” alisikika Wema Sepetu na
kuanza kuimba wimbo wa Niseme ambao mashabiki waliupendekeza.

Mrembo huyo asiyechuja tangu alipotwaa
taji la u-miss Tanzania (2006), akiwa na wapambe wake, baada ya kuimba
kidogo, alichukua pochi yake na kuanza kummwagia fedha mfululizo Dogo
Aslay huku akiwa anamzunguka kwa kucheza.

ASLAY APAGAWA
Kwa
fedha hizo zilizokadiriwa kuzidi milioni moja alizotunzwa Aslay,
ilifika wakati dogo huyo akawa anaziangalia tu kama bubu na kupigwa
butwaa huku akiishia kuzitazama bila kuimba chochote.

BAUNSA AMZUIA WEMA
Katika
hali iliyowashangaza wengi, baunsa mmoja aliyekuwa akimlinda Wema
alimzuia staa huyo kuendelea kutoa fedha zaidi akidai zimetosha ndipo
akaacha na kushuka jukwaani.

KWA NINI ASLAY TU?
Wakati
zoezi hilo likiendelea, kuna baadhi ya mashabiki waliibua minong’ono
wakihoji kwa nini atunzwe Aslay peke yake wakati bendi hiyo ina wakali
wengine watatu, Malomboso, Enock na Beka?
“Mbona kama anampendelea
Aslay tu wengine hawatunzi ona hela zote ameshikilia yeye tu kweli,
inaonekana anamzimia sana Aslay, si bure, haikatazwi lakini,” alihoji
shabiki mmoja aliyekuwa akifuatilia shoo hiyo.

MPAMBANO UNAENDELEA!
Wema
ameonekana kuja juu kwa sasa kifedha, wiki iliyopita alifanya tukio
kama hilo katika Ukumbi wa Thai Village Masaki kwa kumtunza ‘pesa ndefu’
mwanamuziki wa Bendi ya Skylight, Sam Mapenzi huku ikidaiwa ni
mwendelezo wa kampeni ya kumziba mdomo aliyekuwa shosti wake, Kajala
Masanja ambaye inadaiwa kwa sasa yuko ‘vizuri’ kifedha.

No comments:
Post a Comment