kiburudisho, mwishoni mwa wiki iliyopita alitibua onyesho na kugeuka
kuwa burudani baada ya kupanda juu ya jukwaa la Mlimani Park ‘Sikinde
Ngoma ya Ukae’ na kuwakumbatia ovyo wanamuziki.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita
katika ukumbi wa Railway Club ambako paparazi wetu alimshuhudia binti
huyo aliyefahamika kwa jina moja la Fatma, akianza kubadilika taratibu
kadiri alivyokuwa akipata kiburudisho chake kilichokuwa katika vipakti
vya plastiki.
Licha ya kuwakumbatia, pia msichana huyo
alivuruga shoo hiyo baada ya kukanyaga nyaya zinazounganisha vyombo vya
muziki vya bendi hiyo na kusababisha umeme kuzimika jukwaani, hivyo
kusababisha onyesho kusimama kabla ya mafundi mitambo kurekebisha
hitilafu.

No comments:
Post a Comment