Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja..
CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na
Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa
kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU).
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) waliokuwa walezi wa chuo hicho, Philemon Luhanjo.
No comments:
Post a Comment